Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8996 results for Mwandishi :

  1. Usiku wa wababe wa Afrika

    Leo kutakuwa na kivumbi haswa wakati ambapo mabingwa wa kihistoria kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika Al Ahly watavaana na Espérance de Tunis kwenye fainali.

  2. Yanga yashtuka, Chama, Dube, Baleke waondolewa!

    YANGA ni kama imeshtuka vile. Baada ya kuiona Simba ipo kambini Ismailia, Misri na kusikia Azam FC nayo imeondoka nchini kwenda Morocco kuweka kambi ya maandalizi ya msimu ujao, nao fasta...

  3. Osimhen kuwa mbadala wa Salah Liverpool

    LIVERPOOL ilikuwa ni moja kati ya timu zilizotaka kumsajili mshambuliaji wa Napoli na Nigeria, Victor Osimhen katika dirisha lililopita la majira ya kiangazi, lakini ilishindikana baada ya kutaka...

  4. Vigogo Arsenal wajitosa dili la Dani Olmo

    AARSENAL imeingia katika vita ya kutaka kumsajili kiungo wa Barcelona, Dani Olmo katika dirisha lijalo la majira ya baridi ambapo itatakiwa kuzipiku Manchester City na Manchester United...

  5. Rashford awachanganya Wasaudia, wampa ofa nono

    MSHAMBULIAJI wa Manchester United na England, Marcus Rashford, 27, ameripotiwa kukataa ofa tatu kutoka Saudi Arabia ambako timu kibao zimeonyesha nia ya kutaka kumsajili.

  6. Timu zitakavyokuwa bize kusajili mastaa Januari hii

    DIRISHA la Januari 2025 la usajili wa mastaa wa soka limefunguliwa - na bila shaka klabu zitakwenda kuwa bize kwelikweli kusaka wakali wapya.

  7. Madrid yasubirishwa kwa Trent Alexander-Arnold

    LIVERPOOL inadaiwa kutupilia mbali ofa ya Real Madrid iliyowasilishwa katika dirisha hili kwa ajili ya kumsajili beki wao raia wa England, Trent Alexander-Arnold, 26, ambaye mkataba wake...

  8. PRIME Gusa achia yaitisha TP Mazembe

    MSAFARA wa TP Mazembe unatua leo nchini tayari kukutana na Yanga katika mchezo ambao kila timu inataka kuweka hesabu sawa kufufua matumaini ya kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika...

  9. Mapinduzi Cup 2025 vita ya wanandugu

    PAZIA la michuano ya Kombe la Mapinduzi 2025 ambayo kwa msimu huu imehusisha timu za taifa, linafunguliwa leo usiku kwa mchezo mmoja unaozikutanisha timu ‘ndugu’ za Tanzania Bara na Zanzibar...

    Mapinduzi Pict
  10. Sane aingia anga za Liverpool, ishu ya Salah kitendawili

    LIVERPOOL imepanga kumsajili winga wa Bayern Munich na Ujerumani, Leroy Sane, 28, katika dirisha lijalo kama mbadala wa mshambuliaji wao raia wa Misri, Mohamed Salah, 32, ambaye mkataba wake...

Previous

Page 577 of 900

Next