Moyes anarudi mzigoni Everton : DAVID Moyes ametangazwa kuwa kocha mpya wa Everton baada ya kufikia makubaliano ya kurudi kupiga kazi huko Goodison Park.
Zanzibar Heroes, Burkina Faso kitapigwa tena Mapinduzi Cup WENYEJI wa michuano ya Kombe la Mapinduzi 2025, Zanzibar Heroes imetinga fainali kwa mbinde na sasa itakutana tena na Burkina Faso iliyowanyoa bao 1-0 katika makundi baada ya juzi usiku kuing’oa...
Arsenal yatoa msimamo kwa Alexander Isak MABOSI wa Arsenal hawana mpango wa kutoa kiasi kikubwa cha pesa kwa ajili ya kumsajili straika wa Newcastle United na timu ya taifa ya Sweden, Alexander Isak, 25, katika dirisha hili la usajili...
Banchero alivyorudi kwa kishindo NBA KATIKA mchezo wake wa kwanza tangu Oktoba 30, mwaka jana alipokosekana kutokana na majeraha ya misuli, Paolo Banchero amerejea kwa kishindo katika Ligi ya Kikapu Marekani (NBA) akifunga alama 34...
Jose Mourinho haishiwi vituko JOSE Mourinho ana vituko sana. Hicho ndicho unachoweza kusema baada ya kocha huyo kwenda kuzungumza na wachezaji wa timu pinzani akiwaelekeza jambo baada ya kuwafunga katika mchezo wa Kombe la...
Mishahara ya Man United Amad akibamba dili jipya AMAD Diallo mambo yake ni safi baada ya kupandishiwa mshahara kufuatia dili jipya alilosaini Man United.
Mourinho anavyofukuzia rekodi za kibabe Ligi Kuu England JOSE Mourinho ametajwa kwenda kuchukua mikoba ya Sean Dyche huko Everton.
PRIME Malone awagawa mabosi wa Simba BEKI wa Simba, Che Malone Fondoh, amezua jambo klabuni Msimbazi ambako mabosi wa klabu hiyo wamegawanyika pande mbili kuhusu ishu yake.
Diallo ajitia kitanzi Manchester United Amad Diallo ameonyesha furaha yake na kuahidi kuendelea kufanya makubwa katika klabu ya Manchester United baada ya kusaini mkata mpya hadi 2030.
Zanzibar, Harambee patachimbika UHONDO wa michuano ya Kombe la Mapinduzi 2025 hatua ya makundi inahitimishwa usiku wa leo kwa mchezo utakaowakutanisha wenyeji, Zanzibar Heroes dhidi ya Harambee Stars ya Kenya, ili kuamua timu...