Kocha wa Al Hilal ataka Mo Salah aletwe fasta KOCHA wa Al-Hilal, Jorge Jesus amewaambia mabosi wa timu hiyo anahitaji huduma ya mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah dirisha lijalo la majira ya kiangazi na amesisitiza anaendana kabisa na...
PRIME Balaa la majeruhi... Arteta apewa mastraika sita MAJERUHI yameipiga pabaya Arsenal na sasa inahaha namna ya kuboresha fowadi yao.
Kamwe, Mazanzala wapelekwa kamati ya maadili TFF Kamati ya uendeshaji na usimamizi wa ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania iliyoketi Dar es Salaam Jumatano, Februari 12, 2025 imetembeza rungu kwa Pamba Jiji FC huku ikimpeleka katika kamati ya...
Vigogo Madrid watua kwa Diogo Dalot REAL Madrid imefanya mawasiliano na wawakilishi wa beki wa pembeni wa Manchester United, Diogo Dalot, 25, kwa ajili ya kumsajili dirisha lijalo la majira ya kiangazi na imeandaa ofa ya Pauni 41.5...
NIKOLA JOKIC... MVP anayetamba na pesa zake NBA HADI sasa Nikola Jokic ndio anashikilia rekodi ya kuwa MVP wa Ligi Kuu ya Kikapu ya NBA aliyeshinda tuzo hiyo akiwa na wastani wa chini ya pointi 25 kwa mechi moja.
Slot awasilisha jina la De Jong kwa mabosi Liverpool KIUNGO wa Barcelona na Uholanzi, Frenkie de Jong, 27, anaweza akajiunga na Liverpool katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
De Bruyne aachwa aamue hatima yake Manchester City MANCHESTER City imeripotiwa kumuacha kiungo Kevin De Bruyne aamue mwenyewe hatima yake kama anataka kubaki au kuondoka.
Garnacho, Mainoo bado wapo sokoni Man United MANCHESTER United bado ina mpango wa kuwauza mastaa wake wawili - winga raia wa Argentina, Alejandro Garnacho, 20, na kiungo kutoka England, Kobbie Mainoo, 19, katika dirisha lijalo la majira ya...
Vigogo Man United waulizia kuhusu Christopher Nkunku MANCHESTER United imeulizia uwezekano wa kumsajili mshambuliaji wa Chelsea na Ufaransa, Christopher Nkunku, 27, kwa ajili ya kuziba pengo la winga wao raia wa Argentina, Alejandro Garnacho, 20...
Man United kutoa pesa, Hojlund ili imbebe Osimhen MANCHESTER United imeripotiwa kuwa na mpango wa kutoa Pauni 33 milioni pamoja na mshambuliaji Rasmus Hojlund ili kumchukua straika wa Kinigeria, Victor Osimhen dirisha lijalo la uhamisho wa...