Neymar anataka kutimkia Brazil, kutua Santos MSHAMBULIAJI wa Al-Hilal, Neymar, 32, anataka kuachana na timu hiyo katika dirisha hili na kurudi Brazil kujiunga na Santos ambayo ni timu yake ya utotoni.
Amorim: Bora nimchezeshe kocha wa makipa lakini siyo Rashford BALAA hilo. Mambo yameanza kuchangamka huko Manchester United juu ya sakata la mchezaji Marcus Rashford na kocha wake Ruben Amorim.
PUMZI YA MOTO: Uraia tajnisi ulivyomponza Kalusha Bwalya KALUSHA ‘The Great Kalu’, Bwalya, ni mwanasoka bora na mwenye mafanikio zaidi kuwahi kutokea Zambia.
Maresca afunguka ishu ya kipa wake BAADA ya kufanya makosa yaliyochangia Chelsea kupoteza dhidi ya Manchester City wikiendi iliyopita, kipa wa miamba hiyo ya Stamford Bridge, Robert Sanchez huenda akakaa benchi kwa mechi zijazo...
Madrid yamkomalia Saliba REAL Madrid ipo tayari kutoa pesa nyingi ili kuhakikisha inaipata saini ya beki kisiki wa Arsenal, William Saliba ambaye amependekezwa na Carlo Ancelotti tangu dirisha lililopita la majira ya...
Bruno: Hakuna namna lazima tubadilike HAKUNA namna, lazima tubadilike. Ndivyo anavyosema Nahodha wa Manchester United, Bruno Fernandes, huku akiwataka nyota wenzake kuonyesha kweli wana ujasiri wa ‘kuchezea timu hiyo’, hasa kipindi...
Ramovic afunguka kilichomkwamisha Ikanga Speed Kikosi cha Yanga juzi kilishuka uwanjani na kuifumua Copco kwa mabao 5-0 katika mechi ya Kombe la Shirikisho, huku mashabiki wakiachwa njia panda baada ya kumkosa uwanjani winga wao mpya Jonathan...
PRIME Fadlu ashtuka apanga jeshi kuivaa Tabora United SIMBA jana kilikuwa uwanjani kumalizana na Kilimanjaro Wonders katika mechi ya kiporo ya Kombe la Shirikisho, lakini mapema kocha mkuu wa kikosi hicho, Fadlu Davids ikielezwa ameshtuka mapema na...
PRIME Yanga yalegeza kwa Mzize, ishu nzima iko hivi BAADA ya kukaushia dili kadhaa zilizotua mezani kwa ajili ya kutaka kumnunua Clement Mzize, hatimaye mabosi wa klabu hiyo wameamua kulegeza na kuweka bayana sasa wapo tayari kumuuza.
Lionel Messi ana tatizo moja STAA wa Inter Miami na Argentina, Lionel Messi ameendelea kuteswa na udhaifu mmoja ambao yupo nao na kila siku anatamani umuondoke kabla hajastaafu kucheza soka.