Duh! Timu yakimbia mechi Uturuki MECHI ya Galatasaray kwenye Super Lig dhidi ya Adana Demirspor imevunjika baada ya timu ya ugenini kugoma kuendelea na mchezo.
Sergio Ramos apata timu Mexico BEKI wa mpira, Sergio Ramos ameripotiwa kushtua wengi kwa uhamisho wake wa kwenda Mexico bila ya mkewe mrembo Pilar Rubio.
PRIME Tarehe ya kuanzishwa Yanga, Simba na utata wake Kesho, Jumanne ya Februari 11, 2025 Yanga watasherehekea miaka 90 ya kuanzishwa kwao.
PUMZI YA MOTO: Kama inawezekana kwenye muziki, kwanini ishindikane kwenye mpira Miaka ya 1980 na hata nusu ya kwanza ya miaka ya 1990 hakukuwa na tofauti kubwa ya nguvu za kiuchumi na ufundi kati ya soka la Bara na Zanzibar.
PRIME Tarehe ya kuanzishwa Yanga, Simba na utata wake Kesho, Jumanne ya Februari 11, 2025 Yanga watasherehekea miaka 90 ya kuanzishwa kwao.
Kwa Rashford pesa siyo shida, anataka tu kucheza WANASEMA ukiona cha nini wengine wanawaza watakipata line. Ndicho kilichotokea kwa Marcus Rashford ambaye alikuwa hapati namba kwenye kikosi cha Manchester United na zaidi hakujumuishwa kabisa...
Chelsea kuchomoa kipa Liverpool INAELEZWA kwamba Chelsea wamepanga kufanya uhamisho mkubwa kwa kipa wa Liverpool ambaye tayari amekiri kwamba anataka kuondoka kwenye timu hiyo.
Mkakati maalum… Isak, Sesko kutua Arsenal VIGOGO wa Arsenal wanaamini kuwa watavuna matokeo ya kutosajili mchezaji yeyote katika dirisha lililopita ifikapo mwisho wa msimu huu.
Giggs aanika ishu ya Rashford LEJENDI wa Manchester United, Ryan Giggs, amesema mshambuliaji wa timu hiyo, Marcus Rashford ambaye kwa sasa anacheza kwa mkopo Aston Villa lazima akubali kujitoa na kuupenda tena mpira wa miguu...
PRIME Balaa la Waarabu! Kumng'oa Ngoma Msimbazi KLABU kutoka ukanda wa Afrika Kaskazini, maarufu kama Waarabu wameendelea kuvuna watu kutoka katika Ligi Kuu Bara baada ya safari hii kuivamia Simba na kumwekea mezani kiungo Fabrice Ngoma kitita...