Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8989 results for Mwandishi :

  1. Gwiji Sauzi awashukia Kaze, Youssef, ataka mabadiliko Kaizer Chiefs

    KUTOKANA na kile kinachoendelea ndani ya Kaizer Chiefs, gwiji wa soka wa Afrika Kusini, Mlungisi Ngubane anaamini huu ni wakati muafaka klabu hiyo kufanya mabadiliko katika benchi la ufundi ili...

  2. Utamu wa UEFA umefikia hapa, Atalanta ikiishangaza Dormtund

    JANA Jumatano zimechezwa mechi nne za mtoano katika Ligi ya Mabingwa Ulaya kukamilisha idadi ya timu 16 ili kuanza mchakamchaka wa hatua inayofuata kwenye michuano hiyo. Hiyo ni baada ya juzi...

  3. Acha kipigwe! UEFA Champions League kwa moto

    ILE siku ulokuwa unangoja, imefika. Ni mtafutano, wakati chama lako unalolifagilia litakapotupa kete yake muhimu katika mechi ya mtoano ya hatua ya 16 bora kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya...

  4. John Cena amestaafu, akaunti inasoma mabilioni ya fedha

    BAADA ya kutangaza rasmi kustaafu mieleka (WWE), jina la John Cena limeendelea kubaki juu kama mmoja wa mastaa waliowahi kutengeneza historia kubwa katika mchezo huo.

    ATM Pict
  5. Kimeumana… Ligi Kuu England moto unawaka

    BAADA ya timu zote tatu zinazoshika nafasi za juu katika Ligi Kuu England kushinda mechi zao Jumamosi, vita ya kuliwania taji la ligi hiyo msimu huu imeendelea kupamba moto.

    EPL Pict
  6. Wareno wamfuata Bacca AFCON

    JUZI timu ya taifa (Taifa Stars), ilikuwa uwanjani ikicheza mechi ya pili ya Kundi C ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 dhidi ya Uganda 'The Cranes', lakini kabla ya mechi hiyo kuna simu...

    BACCA Pict
  7. Ligi Kuu England, balaa ni lile lile!

    HABARI ni ileile, jichanganye uchanganywe. Hivyo, ndivyo ilivyo kwenye mikikimikiki ya Ligi Kuu England, wakati vita ikiwa kali ya kujaribu kupanda juu kwenye msimamo wa ligi hiyo.

    EPL Pict
  8. Viungo wanasakwa Manchester United

    MANCHESTER United inajiandaa kufanya uwekezaji mkubwa kwenye kusajili pacha mpya ya safu ya kiungo wakati wa dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi.

  9. Mlandege, Singida BS kufungua dimba Mapinduzi Cup 2026

    RATIBA ya Kombe la Mapinduzi 2026 imewekwa hadharani ikionyesha Mlandege na Singida Black Stars zitafungua dimba la michuano hiyo Desemba 28, 2025.

    MAPINDUZI 2026 Pict
  10. Atimuliwa timu ya taifa Iran kisa picha na kiongozi wa Dubai

    Mshambuliaji nyota wa Iran, Sardar Azmoun, amefukuzwa katika kikosi timu ya taifa ya nchi hiyo baada ya kukiuka kile kilichoonekana kuwa kitendo cha kutokuwa mwaminifu kwa serikali.

Previous

Page 556 of 899

Next