Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8980 results for Mwandishi :

  1. Wagosi yang'olewa CAF, yakosa penalti

    COASTAL Union ya Tanga imerudia kile kile ilichowahi kukifanya mwaka 1989 ilipong'olewa raundi za awali za michuano ya CAF, baada ya jioni ya leo kutoka suluhu na AS Bravo ya Angola na kutolewa...

    Coastal Pict
  2. Tenga awauma sikio viongozi, makocha akizindua kitabu cha Kayuni

    Maudhui ya kitabu cha Kocha wa Soka hayakulenga walimu peke yao, pia kimelenga kutoa elimu ya kiufundi ya mchezo wa mpira wa miguu kwa viongozi, wapenzi na wadau wa mpira wa miguu.

  3. Kocha mpya Mtibwa Sugar abebeshwa matumaini kubakisha Ligi Kuu

    Kocha Mohamed Badru ametua kiroho ngumu katika klabu ya Mtibwa Sugar kutokana na matokeo mabaya ya ligi kuu Tanzania bara lakini mchezo wake wa kwanza ameweza kuibua na ushidi wa bao 2-0 dhidi ya...

  4. Yanga, Simba zatangaziana vita ya siku 28

    KWA siku 28 kuanzia leo Jumamosi; Yanga, Azam na Simba zitakuwa katika vita kubwa kwani katika siku hizo anaweza kufahamika bingwa pamoja na mshindi wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

  5. Huu ndio utamu wa Ndondo Cup, asikwambie mtu

    HATUA ya makundi ya michuano ya Sports Extra Ndondo Cup, inatarajia kumalizika Juni 26, mwaka huu na timu shiriki zinaendelea kupambana ili kutinga robo fainali.

  6. Ni vita ya vibopa dhidi ya makapuku Simba

    MGOGORO wa uchaguzi unaoendelea ndani ya Klabu ya Simba hivi sasa si tu kwamba unawahusu wagombea wa nafasi ya urais, bali pia ni wa makundi mawili yaliyojibainisha waziwazi.

  7. Messi vs Ronaldo: Zizou ashindwa kujizuia, amwambia Ronaldo ‘uko juu’

    TOLEO lililopita Mwandishi Luca Caioli aliendelea kuzichambua rekodi za Messi akionyesha jinsi staa huyo alivyoendelea kupaa akifunga jumla ya mabao 500 huku mengi kati ya hayo yakifungwa...

  8. WALETENI EVERTON

    NI kweli Simba imecheza dakika 180 ya SportPesa Super Cup ikiwa na washambuliaji watano bila kufunga bao lolote, lakini ukweli ni kwamba jana imeutafuna mfupa ulioishinda Yanga ikiwang’oa...

  9. Sanchez apondwa kwa kiwango duni

    MANCHESTER United ilimtaka Alexis Sanchez orijino lakini inavyoonekana Arsenal ilifanya utapeli na kuiuzia Sanchez aliye feki.

  10. Arusha United yatangaza kujitoa Ligi Daraja la Kwanza, TFF yawajibu

    Hadi sasa Arusha united iko nafasi ya tano katika msimamo wa kundi B’ mwa ligi daraja la kwanza Tanzania bara ikiwa na alama 28, tofauti ya alama tano na kinara wa kundi hilo Geita Gold fc mwenye...

Previous

Page 551 of 898

Next