PRIME RIPOTI MAALUM-2: Kilichojificha nyuma ya kufeli wanamichezo KILIO cha wanamichezo wa Kitanzania kushindwa kufanya vizuri katika mashindano ya kimataifa bado hakijapatiwa ufumbuzi.
Kesi ya matumizi... Manchester City kufanywa mfano England MANCHESTER City huenda ikakumbana na balaa la kushushwa daraja endapo itakutwa na hatia ya kuzidisha matumizi kwenye kesi ya kukiuka kanuni za mapato na matumizi katika usajili.
Alexander Isak ajadiliwa atabaki, habaki HATIMA ya straika Alexander Isak kwenye kikosi cha Newcastle United itategemea majaliwa ya timu hiyo kama itafuzu kucheza michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao.
Mabosi wa Real Madrid waweka mtego kwa Van Dijk REAL Madrid inaripotiwa kusikilizia kwa mbali hali ya mambo yanavyoendelea kwa beki wa kati wa Liverpool, Virgil van Dijk na hatima ya mkataba wake.
Van Nistelrooy atimua wawili benchi LEICESTER City imewafuta kazi makocha wawili wa kikosi cha kwanza baada ya sasa timu hiyo kuwa kwenye presha kubwa ya kushuka daraja kutokana na matokeo ya hovyo uwanjani.
PRIME RIPOTI MAALUM-1: Anayewafelisha wanamichezo Bongo ni huyu UMEWAHI kujiuliza ni kipi hasa kinawafanya wanamichezo wa Kitanzania kushindwa kufanya vizuri hasa mashindano ya kimataifa? Weka kando mchezo wa mpira wa miguu ambao unatajwa kuwa ndiyo unapendwa...
Aston Villa wanatambia kiwango cha Rashford MASHABIKI wa Aston Villa wamemtaka bosi wa usajili wa timu hiyo kuhakikisha anamnasa jumla mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford, ambaye amejiunga kwa mkopo dirisha lililopita la...
Kocha Man United atua Harambee Stars STRAIKA wa zamani wa timu ya soka ya Afrika Kusini, Benni McCarthy, anatarajiwa kutua Kenya mwishoni mwa wiki kwenda kuchukua mikoba ya kuinoa ya nchi hiyo, Harambee Stars, inaripotiwa Nation...
Kifo cha straika wa Vipers, Polisi wamaliza utata Baadhi ya ripoti zimedai kuwa mchezaji huyo amefariki kutokana na ajali ya gari lakini taarifa ya awali iliyotolewa na Polisi Uganda imeonyesha chanzo tofauti na ajali.
PRIME ONE MAN SHOW! Hawa jamaa ni mastelingi wa msimu kwenye Ligi Kuu England SUPASTAA, Mohamed Salah kila anachoweka mezani msimu huu kinauzika. Kwenye Ligi Kuu England, mkali huyo wa kimataifa wa Misri, amehusika kwenye mabao 41 kwa maana ya kufunga na kuasisti katika...