Sakata la Simba kugomea dabi lamuibua Muro, aitaka TPLB kufungiwa milele ALIYEKUWA Ofisa Habari wa Yanga, Jerry Muro amesikitishwa na kitendo cha mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga na Simba uliopaswa kuchezwa leo kushindwa kuchezwa, huku akiitaka Bodi ya Ligi...
Che Malone, Camara kuikosa Dodoma Jiji kesho Simba SC kesho Ijumaa itaingia uwanjani kukabiliana na Dodoma Jiji huku ikielezwa itaikosa huduma ya kipa wake namba moja, Moussa Camara na beki tegemeo, Che Fondoh Malone.
Florian Wirtz mdomoni mwa timu vigogo Ulaya MANCHESTER City imeendelea kufanya mazungumzo na winga wa Bayer Leverkusen na Ujerumani, Florian Wirtz kwa ajili ya kumsajili katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
Rupia, Abuya na Momanyi waitwa Harambee Stars NYOTA wanne wa Ligi Kuu Bara, akiwamo Duke Abuya wa Yanga na Elvis Rupia wa Singida Black Stars ni miongoni mwa wachezaji walioitwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Kenya, Harambee Stars...
Mtoko wa Liverpool Van Dijk , Salah, Trent wakiondoka utakuwaje? BAADA ya kutupwa nje na Paris Saint-Germain kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya, beki wa kati na nahodha wa Liverpool, Virgil van Dijk alisema hafahamu kama ataendelea kubaki kwenye klabu hiyo hadi...
Rasmus Hojlund, Victor Osimhen mambo yapo hivi NAPOLI inataka kujaribu kutuma ofa kwenda Manchester United kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa timu hiyo na Denmark, Rasmus Hojlund katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
Wazee wa mboga saba waliokinukisha dimbani WACHEZAJI wengi wa soka wamebadilisha maisha yao kupitia soka. Wengi wametokea katika maisha ya chini na walipambana kadri wanavyoweza kuhakikisha wanatimiza ndoto zao.
De Bruyne, Jonathan David wanukia Napoli MABINGWA wa Italia, Napoli wanatarajiwa kukamilisha usajili wa wachezaji wawili kwa uhamisho wa bure, ambao ni kiungo wa kati kutoka Ubelgiji, Kevin De Bruyne, mwenye umri wa miaka 33 na...
Ishu ya straika, Arsenal yatua kwa Barcola Mbali na Arsenal, huduma yake pia inawindwa na Bayern Munich na Liverpool zilizovutiwa na kiwango alichoonyesha akiwa na PSG aliyoisaidia kuchukua ubingwa Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Kwa mziki huu wa Slot, mjipange LIVERPOOL imenyakua taji la Ligi Kuu England msimu wa 2024/25, lakini wala haitaki kubweteka.