Bondia afariki siku 11 baada ya kichapo cha KO BONDIA wa Ghana, Ernest Akushey amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 32 siku chache baada ya kupoteza pambano kwa kichapo cha knockout (KO).
Wanafyekwa! Ripoti ya kocha Man United ipo hivi KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim ameshawasilisha baadhi ya sehemu za ripoti yake ya usajili wa dirisha lijalo la majira ya kiangazi ambayo inaonyesha beki Harry Maguire ataongeza mkataba...
Ndinga za kifahari kwa mastaa NBA ‘WANATESA kote kote.’ Ndicho unaweza kusema kwa mastaa wa mpira wa kikapu huko Marekani kama vile LeBron James na Stephen Curry kutokana na magari ya kifahari wanayomiliki.
Kocha wa EPL afikishwa mahakamani, matatani kufilisiwa Aliyekuwa kocha wa timu ya Ligi Kuu ya England (EPL), Iain Dowie mwenye umri wa miaka 60, anakabiliwa na uwezekano wa kufilisika baada ya kufikishwa mahakamani na mamlaka ya kodi (HMRC).
Martin Ødegaard bado anaumwa, kurudi dimbani Novemba Nahodha wa Arsenal, Martin Ødegaard, ataendelea kuwa nje ya uwanja hadi mwezi Novemba kutokana na jeraha la goti.
Hesabu za Harambee Starlets ikiikabili Gambia kufuzu WAFCON Beki wa Harambee Starlets, Ruth Ingosi, ametoa wito kwa mashabiki kuunga mkono timu hiyo wanapojiandaa kwa mchezo muhimu wa mkondo wa kwanza wa kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake...
Msako wamkata umeme unaendelea Old Trafford! MANCHESTER United itaweka kipaumbele chake kwenye kuboresha sehemu ya kiungo wakati itakapoingia sokoni dirisha lijalo la usajili, huku masupastaa Carlos Baleba na Conor Gallagher wametajwa kuwa...
Gamondi ajipanga upya Afrika SINGIDA Black Stars imetinga raundi ya pili ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuing’oa Rayon Sports ya Rwanda kwa ushindi wa jumla wa mabao 3-1, huku kocha wa timu hiyo, Miguel...
De Gea anarudi Old Trafford NDIYO hivyo. Taarifa zinasema mawasiliano ya siri yameanza baina ya mabosi wa Manchester United na David de Gea tangu timu hiyo ilipocheza na Fiorentina mchezo wa kirafiki kwenye Uwanja wa Old...