Nini kinachofuata Usyk kuachia mikanda matatu? BINGWA wa ngumi za uzito wa juu, Oleksandr Usyk ametangaza kuachia mataji yote matatu ya dunia aliyokuwa anayamiliki ya WBC, WBA na IBF, lakini amesisitiza hajaamua kustaafu mchezo huo.
Barcelona yatangaza kuachana na Lewandowski SIKU chache baada ya Barcelona kutangazwa mabingwa wa Ligi Kuu Hispania (LaLiga), wamesema mshambuliaji wao Robert Lewandowski ataondoka klabuni mwishoni mwa msimu huu baada ya mkataba wake wa...
Tanzanite Queens yapewa Brazil, England Kombe la Dunia Wanawake U-20 UPANGAJI wa makundi na ratiba kwa ajili ya Fainali za Kombe la Dunia la Wanawake chini ya miaka 20, umeifanya Tanzanite Queens kuangukia Kundi B lenye timu za Brazil, England na Canada.
Mwisho wa ubabe AS FAR, Sundowns CAF AS FAR Rabat itaikaribisha Mamelodi Sundowns katika mechi ya marudiano ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika itakayochezwa Jumapili hii Mei 24, 2026 mjini Rabat nchini Morocco, huku wenyeji...
Zamalek farao mpya, Al Ahly mambo magumu Zamalek SC wametangazwa kuwa Mafaroa wapya wa Ligi Kuu ya Misri kwa mara ya 15 katika historia yao baada ya kuifunga Ceramica Cleopatra bao 1-0 katika mchezo wa mwisho wa msimu huu.
BADO KIDOGO…! Man United yasikilizia mbili tu kufuzu Uefa MANCHESTER United iko katika nafasi nzuri ya kufuzu Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao baada ya ushindi wa bao 1-0 ugenini dhidi ya Chelsea. Timu hiyo ya Michael Carrick sasa inaongoza kwa pointi...
MICHAEL CARRICK; Rekodi safi uwanjani, mkwanja mrefu benki WACHEZAJI wa Manchester United huwaambii kitu kwa Michael Carrick. Mashabiki wanasubiri tu wakubwa waamue kumpa timu, kwani amekuwa mkombozi wao na sasa wanatembea vifua mbele kutokana na timu...
Staa wa Hollywood kunogesha Kombe la Dunia 2026 NYOTA wa filamu za Hollywood, Idris Elba, ameongeza msisimko mkubwa kwa mashabiki wa soka barani Afrika kuelekea Fainali za Kombe la Dunia 2026 baada ya SuperSport kuthibitisha kuwa itaonesha...
Tajiri wa Napoli ataka mechi zipigwe dk 50 MMILIKI wa Klabu ya Napoli, Aurelio De Laurentiis, amependekeza mabadiliko makubwa katika soka akihofia kuwa mchezo huo utapoteza kizazi cha vijana ambacho kimekuwa kikipendelea mambo rahisi...
De Zebri awatoa 'OUT' mastaa Spurs kuwaokoa kushuka daraja KOCHA wa Tottenham Hotspur, Roberto De Zerbi ameibua mjadala baada ya kuwapeleka wachezaji wake katika mgahawa wa kifahari jijini London, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuinua morali ya kikosi...