Lewis-Skelly kubeba mikoba ya Partey IWAPO Thomas Partey ataondoka Arsenal msimu huu wa majira ya joto, huenda kukawa na mabadiliko makubwa katika safu ya kiungo ya klabu hiyo. Mkataba wa Partey unatarajiwa kumalizika mwishoni mwa...
ALONSO: Dili la Madrid litakavyomtajirisha BAADA ya timu nyingi kuhitaji huduma yake katika dirisha la majira ya kiangazi mwaka jana na kuzikataa, Xabi Alonso anayeifundisha Bayer Leverkusen kwa sasa, anadaiwa kuwa katika makubaliano na...
Liverpool kumechangamka, Wirtz akabidhiwa yake LIVERPOOL iko moto, ikitambulisha jezi mpya wa msimu wa 2025-26, zitakazovaliwa na majembe yao ya maana huku kiungo wao ghali, Florian Wirtz akikabidhiwa Namba 7, iliyokuwa ikivaliwa na Luis...
BOLKIAH: Mchezaji tajiri kuliko Messi, Ronaldo FAIQ Jefri Bolkiah si jina maarufu katika ulimwengu wa soka. Ni mtoto katika familia ya kifalme ya Brunei ambaye anatajwa kuwa mchezaji wa soka mwenye utajiri mkubwa zaidi duniani, akiwazidi...
Uganda kujiuliza mbele ya Guinea TIMU ya taifa ya Uganda The Cranes, inashuka tena uwanjani leo kutupa karata ya pili ya Michuano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji Wanaocheza Ligi za ndani (CHAN), itakaposaka ushindi wa kwanza...
PRIME Conte, Casemiro wafunika Yanga KATIKA kambi ya mazoezi ya Yanga yanayoendelea kwa sasa pale KMC Complex, Dar es Salaam ikijiandaa na msimu mpya wa mashindano kuna balaa la mastaa wapya wa timu hiyo ambao Mwanaspoti lilipata...
CHRIS PAUL: Sio nguvu tu, hata mkwanja upo MIONGONI mwa wachezaji wa NBA ambao hawajakosa kucheza mechi hata moja msimu huu ni Chris Paul wa New Orleans Pelicans ambaye umri umeshaanza kumtupa mkono.
Namba za JKT Tanzania zinashtua LICHA ya kwamba hawatajwi sana, lakini maafande wa JKT Tanzania namba walizonazo katika Ligi Kuu Bara iliyosimama kwa sasa zinashtua.
Balaa la uwanja mpya, usajili mpya ni utata, mataji kuyeyuka MANCHESTER United imekiri kwamba inajiweka kwenye hatari ya kukosa ubingwa kwa miaka mingine mitano kutokana na kuwekeza pesa nyingi, Pauni 2 bilioni kwenye mradi wa ujenzi wa uwanja mpya.
Paul Pogba hapa inawezekana BAADA ya kumaliza kifungo chake cha miezi 18, juzi, sasa ni rasmi kiungo wa zamani wa Manchester United na Juventus yupo huru kusaini mkataba kwa ajili ya kuichezea timu yoyote.