Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8972 results for Mwandishi :

  1. Simba kuangukia kwa wababe hawa...

    Baada ya kufuzu hatua ya makundi Klabu ya Simba inasubiri droo itakayopangwa Januari 8, 2021 kujua wapinzania wao. Simba imefika hatua hiyo baada ya kushinda mabao 4-0 dhidi ya FC Platinum ya...

  2. Mgunda Simba bado hakijaeleweka

    Hatima ya kocha msaidizi wa klabu ya Simba SC, Juma Mgunda, inaning’inia, ndani ya timu hiyo. Mgunda, aliyejiunga na klabu hiyo Septemba 7 mwaka jana, hakujumuishwa kwenye kikosi cha timu hiyo...

  3. TFF isiruhusu tena aibu hii TPL

    JUZI Agosti 16 usiku kulikuwa na mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) kati ya Azam FC na Tabora United (zamani Kitayosce) ambao ulianza kuchezwa saa moja usiku katika Uwanja wa Azam Complex.

  4. Manara: Hans Poppe ameacha pengo kubwa kwa mpira wetu na Simba

    Msemaji mpya wa Yanga, Haji Manara ametumia post tatu kwenye akaunti yake ya Instagram kumuelezea aliyekuwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Zakaria Hans Poppe. Hans Poppe alifariki dunia...

  5. Bocco amvuta Chilunda Simba

    Majeraha ya mara kwa mara ya nahodha John Bocco, ni sababu kubwa iliyoishawishi Simba kumsajili mshambuliaji wa zamani wa Azam FC, Shaban Chilunda uhamisho uliokamilika juzi.

  6. Mtajua hamjui...Yanga yanasa vyuma viwili

    UNACHOTAKIWA kufahamu sasa ni kwamba huko Yanga kumekucha. Na muda si mrefu utashuhudia vyuma vikipishana kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere.

  7. Azam FC yabanwa mbavu Mapinduzi Cup

    Azam FC imelazimishwa sare ya 0-0 na Mlandege FC ambayo imetoka kucheza mechi ya kwanza ya mashindano hayo jana Julai 6. Azam ndio walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia mshambuliaji wao mpya...

  8. Yanga yatua kibabe Kigoma

    KIKOSI cha timu ya Yanga kimetua salama mkoani Kigoma ikiwa ni siku tatu zimesalia kwa ajili ya mchezo wao wa Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Simba mchezo unaotarajiwa kuchezwa Julai...

  9. Refa Yanga, Belouizdad shilingi itasimama

    HISTORIA ya refa Boubou Traore (34) kutoka Mali, inazilazimisha Yanga na CR Belouizdad ya Algeria kila moja inapaswa kujipanga vilivyo wakati zitakapokutana Jumamosi kuanzia Saa 1:00 usiku kwenye...

  10. Hongera Twiga Stars, ipewe nguvu zaidi

    TIMU ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars imefuzu kwa mara ya tatu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (WAFCON) baada ya kuifunga Ethiopia kwa jumla ya mabao 3-0, baada ya kushinda bao 1-0 ugenini.

    KIKA 04
Previous

Page 507 of 898

Next