Newcastle yamtenga Isak STRAIKA wa Newcastle na timu ya taifa ya Sweden, Alexander Isak amewekwa kando na kikosi cha kwanza na kuamriwa afanye mazoezi peke yake, pia akiondolewa katila hafla maalum ya familia...
Uganda kujiuliza mbele ya Guinea TIMU ya taifa ya Uganda The Cranes, inashuka tena uwanjani leo kutupa karata ya pili ya Michuano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji Wanaocheza Ligi za ndani (CHAN), itakaposaka ushindi wa kwanza...
Sesko akili yote Man United MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Slovenia, Benjamin Sesko, 22, inadaiwa amekubali kujiunga na Manchester United na kuikataa Newcastle United iliyokuwa inahitaji huduma yake pia.
Everton yapewa masharti magumu kusajili Grealish INAELEZWA Everton ipo tayari kumsajili mshambuliaji wa Manchester City, Jack Grealish lakini inakumbana na masharti magumu ambayo huenda yakasababisha iachane na mpango huo.
Lijendi kasema...hawatoboi LEJENDI wa Liverpool, Jamie Carragher amesema licha ya kutumia Pauni 250 milioni katika usajili wa dirisha hili, haioni Chelsea ikichukua ubingwa wa Ligi Kuu England msimu ujao.
PRIME Conte, Casemiro wafunika Yanga KATIKA kambi ya mazoezi ya Yanga yanayoendelea kwa sasa pale KMC Complex, Dar es Salaam ikijiandaa na msimu mpya wa mashindano kuna balaa la mastaa wapya wa timu hiyo ambao Mwanaspoti lilipata...
PRIME Ateba akitoka, huyu anaingia! KIKOSI cha Simba kinaendelea kujifua kikiwa kambini jijini Ismailia, Misri kujiandaa na msimu mpya wa mashindano na kuna kazi ya maana inaendelea kufanywa na kocha Fadlu Davids akisuka kikosi kwa...
VAR yaiokoa Kenya kwa Angola, yabaki kileleni Kenya imenusurika kupoteza mechi ya kwanza nyumbani ikilazimisha sare ya bao 1-1 dhidi ya Angola kwenye mchezo wa pili wa Kundi B wa Fainali za Mataifa Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN).
Mkwasa ataka mabao zaidi CHAN KOCHA wa zamani wa Yanga na timu ya taifa, Taifa Stars, Boniface Mkwasa amesema benchi la ufundi la timu ya taifa lina kazi kubwa ya kufanya kwa kuhakikisha washambuliaji wanatumia nafasi...
Mabosi wa Azam wamtega Ibenge MABOSI wa Azam FC wamemtega kimtindo kocha mkuu wa timu hiyo, Florent Ibenge baada ya kuweka bayana malengo ya msimu wa 2025-26 kwamba ni kupiga hatua kubwa katika mashindano yote watakayoshiriki...