Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Ateba akitoka, huyu anaingia!

Muktasari:

  • Kocha Fadlu anayesimamia usajili wa kikosi hicho, amejulishwa kwamba kuna uwezekano wa kumuuza straika aliyemaliza msimu uliopita wa Ligi Kuu Bara akiwa na mabao 13, Lionel Ateba kufuatia uwepo wa ofa zake mbili mezani kwa mabosi wa klabu hiyo, lakini kuna moja ndio angalau inaonekana kuwa siriazi ya kutaka kumbeba nyota huyo raia wa Cameroon.