Nondo 7 za Stars kuiondosha Morocco CHAN 2024 KUFUATIA Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kufuzu kwa mara ya kwanza hatua ya robo fainali ya michuano ya CHAN 2024, mjadala umeibuka kuhusu kikosi hicho kinakwenda kuikabili vipi Morocco...
Salah kabeba tuzo yake huko SUPASTAA wa Liverpool, Mohamed Salah amekuwa mchezaji wa kwanza kushinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Chama cha Wanasoka wa kulipwa England mara tatu.
Newcastle yamjibu Isak, mambo yazidi kutibuka NEWCASTLE United imemjibu mshambuliaji wao wa kimataifa wa Sweden, Alexander Isak baada ya staa huyo kutoa tamko zito kupitia mitandao ya kijamii.
Maema aiwahi Simba Misri KIUNGO mpya wa Simba, Neo Maema ataungana na kikosi cha timu hiyo kambini jijini Cairo nchini Misri leo tayari kuanza maandalizi ya msimu mpya.
Kariakoo Dabi kufungua pazia la Ligi Kuu Bara Septemba 16 Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza kuwa mchezo wa Ngao ya Jamii kufungua msimu mpya wa Ligi Kuu Bara 2025/26 utapigwa Septemba 16, 2025 jijini Dar es Salaam.
Sterling pasua kichwa Chelsea CHELSEA imepanga kumtoa tena kwa mkopo Raheem Sterling huku ikipambana kuwapiga bei mastaa 10 kabla ya dirisha la usajli kufungwa.
MKEKA TAYARI: Magwiji watoa utabiri mapema EPL GARY Neville na Jamie Carragher wametoa utabiri wao wa mambo ya Ligi Kuu England yatakavyokuwa msimu huu wa 2025-26 huku wakipingana kwenye maeneo kadhaa.
Mara Paap! Vardy katua Napoli STRAIKA Jamie Vardy huenda akabamba dili matata kwenda kujiunga na Napoli ya Italia kutokana na mabingwa hao wa Italia kuhitaji saini ya mshambuliaji huyo asiyekuwa na timu kwa sasa.
Donnarumma anasubiri mlangoni Man United MANCHESTER United imepata tumaini jipya la kupata pesa kuiwezesha kumsajili Gianluigi Donnarumma kupitia Andre Onana anayesakwa na Inter Milan.
Mikel Arteta hajamaliza kusajili mjue! KOCHA Mikel Arteta bado anataka kuboresha kikosi chake kwenye wingi ya kushoto, lakini atahitaji kupiga bei mastaa kadhaa ili kuweza kusajili.