Hela yaongezwa kumnasa Mbeumo HABARI ndo hiyo. Manchester United imepeleka ofa ya pili huko Brentford kwa ajili ya kuinasa saini ya winga Bryan Mbeumo na mzigo uliowekwa mezani unazidi mkwanja wa Pauni 60 milioni.
SUAREZ: Mpira unaisha, pesa zinaongezeka ALFAJIRI ya Jumapili, macho ya mashabiki wa soka duniani yalikuwa Florida Miami wakitazama mchezo wa ufunguzi wa michuano ya Kombe la Dunia la Klabu kati ya Al Ahly na Inter Miami uliopigwa...
PRIME Miloud Hamdi: Sasa Simba waje tu YANGA kazi imerudi, kwani kama unakumbuka kocha wa timu hiyo, Miloud Hamdi alitamka hana ratiba na mchezo wa dabi dhidi ya Simba, lakini sasa amefungua faili la mechi hiyo, akisema ameshajulishwa...
Wadhamini Kombe la FA watoka hadharani kujibu madai ya Yanga Yanga ilitwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho (FA) msimu wa 2023/2024 baada ya kuibuka na ushindi wa mikwaju ya penalti 6-5 dhidi ya Azam kwenye fainali iliyochezwa Uwanja wa New Amaan Complex...
Kiboko ya Yamal, halafu haringi ANAJUA boli, halafu wala haringi. Mshindi wa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya na supastaa wa mataji matatu makubwa kwa msimu uliopita, ametamba alimzima mmoja wa wachezaji wenye vipaji vikubwa...
Bingwa mpya ZPL ni KVZ au Mlandege BINGWA mpya wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) anatarajiwa kujulikana leo wakati Mlandege na KVZ zitakaposhuka viwanja viwili tofauti kusaka pointi za kufungia msimu wa ligi hiyo.
PRIME Aziz KI achekelea dabi, ataja bingwa Bara MWAMBA wa Burkina Faso, Stephanie Aziz KI tayari ameshaanza kukipiga katika chama lake jipya la Wydad Casablanca alikotua hivi karibuni akitokea Yanga, lakini huku nyuma kaacha kumbukumbu kibao...
Mashabiki Man United walalamikia tiketi MASHABIKI wa Manchester United wamelaani ongezeko jipya la bei za tiketi, wakilielezea ni pigo lingine kali kwao.
IRON MAN: Mkono wa chuma unaingiza pesa, moyo unatoa kwa jamii UKITAJA waigizaji 50 wanaoingiza pesa nyingi duniani, huwezi kulikosa jina la Robert Downey Jr 'Iron Man'.
Angola yapindua meza kibabe, ikiizima Zambia Angola imetoka nyuma na kutengeneza ushindi muhimu mbele ya Zambia, ikishinda kwa mabao 2-1 katika mchezo wa tatu hatua ya makundi ya Fainali za Ubingwa kwa Mataifa Afrika (CHAN) 2024. Zambia...