Simba yataja mambo matatu fainali kupigwa Zanzibar Simba imetamba kuwa haina hofu yoyote kucheza mechi katika Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar ikiwa ni siku moja baada ya kuwatangazia mashabiki wake kuwa mechi yake ya fainali ya Kombe la...
PRIME Diarra awagawa mabosi Yanga VIUNGA vya Jangwani mambo yanaonekana kana kwamba yamepoa, kikosi cha Yanga kikiwa mawindoni katika viwanja vya mazoezi kujiwinda na michezo iliyobaki kumalizia msimu huu wa Ligi Kuu Bara na...
Taifa Stars yawekewa Sh1 bilioni Chan 2024 KATIKA kuongeza hamasa ya kufanya vizuri kwenye Fainali za Ubingwa kwa Mataifa ya Afrika (CHAN) 2024, wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars mezani wamewekewa kitita cha Sh1 bilioni...
Msikie Arteta kuhusu EPL 2025/26 MIKEL Arteta anaamini kutakuwa na timu hadi nane zitakazochuana na Arsenal kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu England msimu ujao na kusisitiza, patachimbika.
Sikia hii ya Amorim Man United KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim ameongoza msafara akishuka wa kwanza kutoka kwenye basi la timu wakati walipofika kwenye hoteli moja huko Chicago, Marekani ambako wataweka kambi kwa...
Viktor Gyokeres awavuruga mashabiki Arsenal KUMEKUCHA. Mashabiki wa Arsenal wametumia kurasa zao kwenye mitandao ya kijamii kutuma ujumbe kwa mabosi wao kusitisha mpango wa kumchukua straika Viktor Gyokeres na badala yake ikamnase...
Bruno Fernandes ataka usajili mpya KIUNGO mbunifu wa Manchester United, Bruno Fernandes amesema timu hiyo inapaswa kufanya usajili wa mastaa wengine zaidi kabla ya msimu mpya kuanza.
Dili la Isak Liverpool, ofa ya kitajiri ALEXANDER Isak amewekewa mezani ofa ya mshahara wa Pauni 32 milioni kwa mwaka kutoka Saudi Arabia, lakini moyo wake unataka kucheza Liverpool.
PRIME Mwenda arudishwa mlangoni kwenda Simba KAMA mabosi wa Yanga wangechelewa kidogo tu, ilikuwa inakula kwao baada ya beki wa kulia wa timu hiyo, Israel Mwenda kubakiza hatua chache kuchukuliwa, lakini mabingwa hao wakapindua...
Uhondo wa CHAN upo Nairobi UHONDO wa fainali za CHAN 2024 unaendelea leo kwa mechi mbili za Kundi A, mapema jioni DR Congo itavaana na Zambia kabla ya wenyeji Kenya kumalizana na Angola, mechi zote zikipigwa jijini Nairobi.