Mo Salah, Van Dijk vikumbo kwenye tuzo MASTAA wa wanane wamewekwa kwenye orodha ya wakali wanaowahia tuzo ya Mchezaji Bora wa Msimu kwenye Ligi Kuu England msimu huu, hukuu Liverpool ikiwakilishwa na wachezaji watatu.
PRIME Fainali CAFCC: Tripu hii, ngoja tuone! SIMBA imekata mzizi wa fitina. Imetinga fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kusota kwa muda mrefu.
Vigogo Arsenal wakomaa na Sesko, Gyokeres ARSENAL kwa sasa imewekeza nguvu zote katika mazungumzo na wawakilishi wa straika wa RB Leipzig na timu ya taifa ya Slovenia, Benjamin Sesko, 21, pamoja na straika wa Sporting Lisbon na timu ya...
Barca bingwa LaLiga, Espanyol haijapenda BARCELONA imebeba ubingwa wa La Liga msimu huu baada ya kuichapa Espanyol na kufikisha pointi ambazo hakuna timu nyingine itazifikia kwenye mchakamchaka huo.
Bei anayouzwa Rashford imetajwa MANCHESTER United imetaja bei anayouzwa winga Marcus Rashford na timu itakayohitaji huduma ya staa huyo dirisha lijalo la usajili itapaswa kulipa Pauni 40 milioni.
Fifa yaichomoa Congo Brazzaville kifungoni Shirikisho la Kimataifa la Soka (FIFA) limeiondolea adhabu ya kulifungia Shirikisho la soka la Congo Brazzaville (FECOFOOT).
Real Madrid yaipongeza Barcelona kubeba taji Klabu ya Real Madrid imeipongeza Barcelona kwa kutwaa ubingwa wa La Liga msimu huu 2024/25.
Benzema, Kante watwaa ubingwa Saudia Al Ittihad ya Saudi Arabia imetangazwa kuwa bingwa mpya wa Ligi Kuu ya nchi hiyo baada ya kufikisha pointi 77.
Tiketi ya Man United Vs Spurs ni mshahara mpya wa Fei Toto MASHABIKI wa soka wamekasirishwa baada ya tovuti inayomilikiwa na mmiliki mwenza wa Chelsea, Todd Boehly, kuuza tiketi za fainali ya Europa League kwa takriban Pauni 23,000 (Sh82 milioni).
Kocha Man United hataki kujiuzulu KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim ameweka wazi kwamba hana nia ya kujiuzulu kuifundisha timu hiyo lakini anajua shinikizo litaongezeka ikiwa hatashinda Europa League.