Olise atikisa kiberiti Bayern MSHAMBULIAJI Michael Olise ameripotiwa kuomba kikao na viongozi wa Bayern Munich huku tetesi za uhamisho wake zikiendelea kushika kasi.
100 washiriki mchezo wa gofu kuadhimisha miaka 50 ya Tazara Zaidi ya wachezaji 100 wamejitokeza kwenye mchezo wa gofu ,ikiwa ni shamrashamra za kusheherekea miaka 50 tangu kuanzishwa kwa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia(Tazara).
Mbappe amewaangamiza wenzake wa utotoni UFARANSA imekata tiketi ya kutinga nusu fainali ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuichapa Morocco mabao 2-0 katika mchezo uliokuwa na simulizi ya kipekee iliyowakutanisha Kylian Mbappe na baadhi...
Senegal yamtimua kocha Pape Thiaw SHIRIKISHO la Soka la Senegal (FSF) limemfuta kazi kocha mkuu Pape Thiaw kufuatia kushindwa kwa timu hiyo kuvuka hatua ya 32 Bora kwenye Kombe la Dunia 2026.
O’reilly: Nafurahi kumkabili Messi BEKI wa kushoto wa England, Nico O’Reilly, amesema anaiona mechi ya nusu fainali ya Kombe la Dunia dhidi ya Argentina kama fursa ya kipekee ya kumkabili Lionel Messi, ambaye anaamini ni mchezaji...
Bellingham, Ashlyn mapenzi motomoto KWA miaka mingi, imekuwa ikijulikana kuwa mama wa Jude Bellingham, Denise, ndiye shabiki wake mkubwa na mtu aliyekuwa karibu naye tangu alipoanza safari yake ya soka.
Chelsea yafuta posti ya Enzo kisa mashabiki wa England CHELSEA imejikuta kwenye wakati mgumu baada ya mashabiki wake kuishambulia vikali klabu hiyo kufuatia kuchapisha picha ya Enzo Fernandez akishangilia bao lake dhidi ya England katika nusu fainali...
LeBron akienda Warriors, NBA inabadili ratiba LIGI ya NBA inaweza kulazimika kufanya mabadiliko makubwa kwenye ratiba ya msimu ujao iwapo nyota mkongwe LeBron James ataamua kujiunga na Golden State Warriors, huku mvuto wa kushirikiana kwake...