Iran hatarini kushiriki Kombe la Dunia 2026, FIFA yatoa tamko NCHI ya Iran huenda ikajiondoa kwenye mashindano ya Kombe la Dunia 2026 kufuatia mashambulizi ya anga ya Marekani yaliyomuua kiongozi mkuu wa nchi hiyo, Ayatollah Ali Khamenei.
Unambeza Carrick? Msikie anachosema MICHAEL Carrick ameamua kuvunja ukimya na kujibu vikali maoni yaliyotolewa na wachambuzi wa soka kumhusu, akiwemo nyota wa zamani wa Manchester United, Roy Keane.
Mara paap! Casemiro chama moja na Messi KIUNGO wa Kibrazili, Casemiro ameripotiwa kuzivutia klabu za Inter Miami pamoja na timu yake ya utotoni nchini Brazil.
James Milner wala hafikirii kutundika daruga KIRAKA James Milner ameashiria bado hajapanga kustaafu soka baada ya kuvunja rekodi ya muda wote ya idadi ya mechi nyingi zaidi katika Ligi Kuu England.
Baada ya kukiwasha dhidi ya Spurs, Arteta afichua hasira za Eze KOCHA Mkuu wa Arsenal, Mikel Arteta, amedai kuwa kiungo Eberechi Eze, alikuwa na hisia za kukasirishwa na hatua ya kucheza mechi chache hivi karibuni.
Coastal Union wapo kamili gado Ligi Kuu Bara WAKATI ikijiandaa kwa ajili ya mechi za duru la pili la Ligi Kuu Bara, kocha mkuu wa Coastal Union, Mohammed Muya amesema 'Wagosi wa Kaya wameimarika' na wapo tayari kwa vita ya ngwe ya lala...
Mayweather: Sikieni, narudi ulingoni jumla jumla BONDIA wa ngumi za kulipwa aliyetangaza kustaafu miaka michache iliyopita, Floyd Mayweather Jr ametangaza kurejea kwa kushtukiza kwenye ndondi za kulipwa baada ya pambano la maonyesho dhidi ya...
Carragher aomba radhi utata makipa bora BEKI wa zamani wa Ligi Kuu England, Jamie Carragher amelazimika kuomba radhi baada ya kumweka Edwin van der Sar nje ya orodha yake ya makipa watano bora wa wakati wote wa Ligi Kuu England, huku...
PSG yaweka mzigo kwa Yamal WINGA wa Barcelona, Lamine Yamal amewekwa kwenye rada ya PSG, ambayo imewasilisha ofa ya Euro 350 ikimtaka nyota huyo msimu ujao akakipige kwa mabingwa hao wa Ligi Kuu Ufaransa (Ligue 1), ukiwa...
Nisre Zouzoua ang’ara, Dar City yaitandika Johannesburg BAL WAKATI Dar City ikiichapa Johannesburg Giants ya Afrika Kusini katika mechi ya kwanza ya Ligi ya Mpira wa Kikapu Afrika (BAL) juzi Ijumaa kwa pointi 100-70, Nisre Zouzoua alikuwa mwiba kwa...