Arne Slot akatisha likizo kisa Cherki KOCHA wa Liverpool, Arne Slot ameripotiwa kukatisha likizo ili kukutana na Rayan Cherki kumshawishi atue Anfield.
Madrid yamkataza Trent kutumia gari lake REAL Madrid imemkataza Trent Alexander-Arnold kupeleka Hispania gari yake ya kifahari baada ya kujiunga na timu hiyo akitokea Liverpool.
Motisha kwa wachezaji husaidia saikolojia ya mafanikio ya klabu USIKU wa Jumamosi iliyopita, PSG ya Ufaransa ilitwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya baada kuifunga Inter Milan ya Italia kipigo cha aibu cha mabao 5-1 jijini Munich, Ujerumani.
Mke sababu ya Bruno kukataa bilioni 725 kwa mwaka NAHODHA wa Manchester United, Bruno Fernandes amevunja ukimya na kueleza kwa nini ameikataa ofa nono kutoka kwa miamba ya Saudi Arabia, Al-Hilal ambayo ingemfanya avute Pauni 200 milioni kwa...
PRIME Ishu ya Azam, Manula yafikia hapa MABOSI wa Azam FC wameanza mipango ya kuimarisha kikosi cha timu hiyo kwa msimu ujao ikielezwa ipo hatua ya mwisho kumsainisha mkataba, kipa wa Aishi Manula, sambamba na kumbeba kiungo mahiri...
PRIME Kinachoendelea kwa Chama, Yanga hiki hapa MASHABIKI wa Yanga kwa sasa wanasikilizia ishu ya Dabi ya Kariakoo kama itapigwa au la, lakini kuna kitu kinaendelea ndani ya klabu hiyo kuhusu kiungo mshambuliaji, Clatous Chama.
Sasii afungiwa miezi sita, Fadlu, Sowah nao yawakuta Mwamuzi Herry Sasii amekumbana na adhabu Kali, baada ya kufungiwa miezi sita kwa makosa ya kushindwa kutafsiri Sheria kwenye mchezo kati ya Simba na Singida Black Stars.
Sancho afunguka kusepa Chelsea, Wasaudia watajwa SUPASTAA wa England, Jadon Sancho amezungumzia kuhusu kuondoka kwake Chelsea baada ya timu hiyo kuilipa Manchester United Pauni 5 milioni ili kutomsainisha mkataba wa kudumu, huku taarifa...
Son Heung-min aingia anga za Wasaudia STRAIKA wa Tottenham Hotspur, Son Heung-min anawindwa na timu kibao za Saudi Arabia katika dirisha hili.
Barca hatarini kuadhibiwa na UEFA BARCELONA inakabiliwa na hatari ya kuadhibiwa na Shirikisho la Kandanda Ulaya (Uefa) baada ya kukiuka sheria za kifedha mwaka wa pili mfululizo.