Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8942 results for Mwandishi :

  1. Baada ya Steve Barker kutambulishwa Simba, Stellenbosch yatoa tamko

    KLABU ya Stellenbosch kutoka Afrika Kusini, imetoa tamko ikithibitisha kuwa, Steve Barker amejiuzulu nafasi yake ya Kocha Mkuu ili kuchukua jukumu jipya la kuinoa Simba SC ya Tanzania.

  2. Luca Zidane ageuka lulu AFCON 2025

    KIPA Luca Zidane anaendelea kuwa gumzo na chaguo pendwa kwa timu ya taifa ya Algeria, wakati taifa hilo leo litakuwa dimbani kusaka clean sheet ya tatu ya hatua ya makundi dhidi ya Guinea ya...

    LUCA Pict
  3. Ushawishi wa Faouzi CAF wazua hofu sakata la AFCON 2025

    Gazeti maarufu la Ufaransa, L'Équipe limeibua mjadala mzito barani Afrika baada ya kuripoti kuwa ushawishi mkubwa wa Faouzi Lekjaa ndani ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) unazua hofu...

  4. Cole akaribishwa Italia kwa kipigo

    BEKI wa zamani wa kushoto wa Chelsea na Arsenal, Ashley Cole ameanza vibaya katika kibarua chake cha kwanza kama kocha mkuu wa timu ya ya Cesena inayoshiriki Ligi Daraja la Pili Italia (Serie B).

  5. Adidas yazindua uzi wa mwisho wa Messi

    KAMPUNI ya vifaa vya michezo ya Adidas imezindua rasmi jezi za mwisho za Kombe la Dunia 2026 za nchji mbalimbali ikiwamo ya Argentina ambapo supastaa Lionel Messi anatarajiwa kuichezea kwa mara...

  6. Guardiola awatolea uvivu wanaomshambulia

    KIPIGO kinauma, wewe acha tu! Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amewajibu watu wanaomkosoa na kumshambulia baada ya kipigo cha mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya uliopigwa wiki hii dhidi ya...

  7. Malindi hali mbaya Ligi Kuu Zanzibar

    TIMU ya Malindi FC inayoshiriki Ligi Kuu Zanzibar, imepoteza matumaini baada ya kutoka kuwania ubingwa wa ligi hiyo hadi kupambana isishuke daraja.

  8. Kipa Courtois ajitosa kwenye kumiliki timu

    KIPA wa Real Madrid, Thibaut Courtois, ndiye mwanasoka wa hivi karibuni aliyejiunga kwenye orodha ya wamiliki wa klabu za soka.

    KIPA Pict
  9. Droo robo fainali CAF ni kivumbi na jasho

    MAMBO ni moto. Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limefanya droo ya robo fainali za Ligi ya Mabingwa Afrika huku likizipanga Esperance de Tunis na Al Ahly kumenyana kwenye hatua hiyo ya nane bora.

    DROO Pict
  10. Ratiba yaanza kuwa chungu Manchester City

    MATUMAINI ya Arsenal kutwaa taji la Kombe la Ligi yameongezeka baada ya Manchester City kufahamu wapinzani wao katika hatua ya tano ya Kombe la FA jambo linalowafanya kukabiliwa na ratiba ngumu...

    MAN CITY Pict
Previous

Page 455 of 895

Next