Arsenal yampa Lewis-Skelly dili ARSENAL imejiondoa kwenye presha ya kumpoteza staa wao Myles Lewis-Skelly, ambaye alikuwa kwenye rada za Real Madrid baada ya kumsainisha dili jipya la kumbakiza Emirates.
Duh! Sikia hii ya Balotelli MAISHA yanakwenda kasi sana. Ndiyo hivyo, straika Mario Balotelli yupo kwenye hatua za mwisho za kujiunga na timu ya Daraja la Tatu huko Hispania.
Liverpool yajitosa kwa Gyokeres, Man United, Arsenal kazi ipo LIVERPOOL yaingia vitani na Man United na Arsenal kumnyatia Viktor Gyokeres baada ya ndoto za Alexander Isak kufifia
Arsenal yapata mrithi wa Partey ARSENAL imefanikiwa kufikia makubaliano ya kumsajili kapteni wa Brentford, Christian Norgaard, kwa ada ya pauni 10 milioni pamoja na nyongeza ya hadi Pauni 5 milioni, ili akawe mbadala wa kiungo...
Staa wa Yanga kuwania uenyekiti AFC Leopards SC Bonface Ambani, gwiji wa soka nchini Kenya na mchezaji wa zamani wa AFC Leopards, amezindua rasmi ilani yake ya kampeni iitwayo “IPOSIKU” leo Juni 26, 2025, katika ukumbi wa KCB Simba jijini...
Kisa Nico, Bilbao yaifanyia vibaya Barca KATIKA harakati za kuhakikisha staa wao Nico Williams anabaki, ripoti zinaeleza Athletic Club inatarajia kuiripoti Barcelona kwa La Liga na kutaka wafanyiwe ukaguzi rasmi wa kifedha kwani...
Ronaldo kupewa miwili huko STAA wa kimataifa wa Ureno, Cristiano Ronaldo anatarajiwa kusaini mkataba mpya na Al Nassr ya Saudi Arabia ambao utamwezesha kusalia kwenye timu hiyo hadi mwaka 2027, licha ya tetesi zilizodai...
Chelsea yafikia patamu kwa Jamie Gittens CHELSEA iko karibu kukamilisha dili la kumsajili winga wa Borussia Dortmund na timu ya taifa ya vijana ya England chini ya miaka 21, Jamie Gittens, mwenye umri wa miaka 20, katika dirisha hili.
PRIME Ulipo mtego wa wagombea uchaguzi mkuu TFF KALENDA ya Uchaguzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inaonyesha sasa tupo kwenye kipindi cha kuweka na kupokea pingamizi kwa wagombea, zoezi hilo limeanza Juni 26 na tamati yake...
Iwobi kwenye kisa cha kubebWa na Okocha, Ronaldinho utotoni LAMINE Yamal amekuwa moto mkali uwanjani kwa sasa, akicheza soka lake la uhakika Barcelona na timu ya taifa ya Hispania. Na wakati akifanya hilo, kuna stori kwamba aliogeshwa na supastaa wa soka,...