PRIME Ecua deal done! Wakala athibitisha MASHABIKI wa Yanga wana uhakika wa kutamba sasa, baada ya klabu yao kujihakikishia dili la kumnasa mshambuliaji raia wa Ivory Coast, Celestin Ecua ambaye atasaini mkataba wa miaka miwili na timu...
Arsenal haijakata tamaa kuinasa saini ya Rodrygo ARSENAL bado ina nia ya kumsajili winga wa Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil, Rodrygo, 24, licha ya kuwa karibu kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa Chelsea raia wa England Noni Madueke...
Madueke mawazo yote yapo Emirates WINGA wa Chelsea, Noni Madueke hakujali kuhusu fainali ya Kombe la Dunia la Klabu inayopigwa Jumapili baada ya kuondoka kwenye kambi ya timu hiyo kurudi London kwenda kuanza maisha mapya kwenye...
Cooper Flagg aanza mdogomdogo Las Vegas KATIKA Uwanja wa Thomas & Mack jijini Las Vegas, kijana mwenye umri wa miaka 18 tu, Cooper Flagg alicheza mchezo wake wa kwanza katika NBA 2K26 Summer League akiwa na jezi za Dallas Mavericks.
Waamuzi wa ligi za Ulaya wanavyolipwa kibabe NANI hapendi kufanya kazi isiyolipa vizuri, hasa kazi yenyewe ikiwa ya lawama nyingi kama ya urefa wa soka.
Kwa Arsenal hii mtateswa juu, mtateswa chini ARSENAL inafanya usajili, ambao utawapasua vichwa wapinzani wao, kwenye ishu ya kupitisha mipira, wapite wapi - chini tatizo na juu ndiyo usiseme.
Twiga Stars, Banyana Banyana zagawana pointi WAFCON 2025 Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania ‘Twiga Stars’ imeipa mshtuko Afrika Kusini ‘Banyana Banyana’ baada ya kuilazimisha sare ya bao 1-1 katika mchezo uliomalizika muda mfupi uliopita wa Kombe la...
Kiungo mpya Arsenal aanza kwa masharti KIUNGO mpya wa Arsenal, Christian Norgaard matumani yake ni kuendelea kucheza soka la kushambulia zaidi na siyo kukaba baada ya kukamilisha uhamisho wake wa Pauni 12 milioni huko Emirates.
Kwa mziki huu wa Spurs, mtakoma TOTTENHAM Hotspur sasa imewasha moto dirisha hili la usajili, ikinyakua huduma ya winga wa West Ham United, Mohammed Kudus kwa Pauni 55 milioni na sasa inakaribia kwenye kunyakua saini ya kiungo...
Mabosi Bayern Munich watua kwa Luis Diaz IMEFICHUKA Bayern Munich imewasilisha ombi kwenda Liverpool ili kumnunua winga wao Luis Diaz, mwenye umri wa miaka 28, katika dirisha hili.