Mastaa United kuvishwa majaketi maalumu MASTAA wa Manchester United watafanya mazoezi wakiwa na jaketi maalumu za kupoza hali ya joto kali kwenye ziara yao ya pre-season huko Marekani.
Aston Villa yaikomalia Man United kwa Martinez MABOSI wa Aston Villa wamekataa ombi la Manchester United inayohitaji kuipata huduma ya kipa wake wa kimataifa wa Argentina, Emiliano Martinez, kwa mkopo wa msimu mmoja.
Gyokeres kupewa namba ya Henry ARSENAL imekubali rasmi kumsajili straika Viktor Gyokeres kutoka Sporting Lisbon na kumkabidhi staa huyo jezi iliyokuwa ikivaliwa na gwiji Thierry Henry.
Rashford kusubiri kwanza Barcelona BARCELONA imefuta mechi ya kwanza ya kirafiki kwenye pre-season jambo litakalomchelewesha Marcus Rashford kuitumikia timu yake mpya mapema.
Newcastle yakubali yaishe kwa Isak, mbadala wake watajwa NEWCASTLE United imeonyesha nia kubwa ya kumsajili mshambuliaji wa Wolves na timu ya taifa ya Norway mwenye umri wa miaka 25, Jorgen Strand Larsen katika dirisha hili la majira ya kiangazi ili...
Dili za pesa nyingi zilizoshikilia rekodi England LIVERPOOL imeripotiwa kuweka mezani Pauni 120 milioni kunasa huduma ya straika Alexander Isak. Lakini, klabu yake ya Newcastle United inamthaminisha kuwa na thamani ya Pauni 150 milioni.
Kisa jela… Hawa jamaa na soka basi tena KATIKA ulimwengu wa michezo, wachezaji huchukuliwa kama kioo cha jamii, watu wa kuigwa na mashujaa kwa wale wanaowashabikia.
Liverpool tatu za kibabe zinakuja! PENGINE ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu England, lakini hilo wala haliifanyi Liverpool kubweteka. Miamba hiyo ya Anfield imekuwa bize sana kwenye dirisha hili la uhamisho wa majira ya kiangazi...
Man United haivunji benki kwa straika mpya MANCHESTER United imeamua kufuta mpango wa kuvunja benki kwa ajili ya kunasa huduma ya mshambuliaji Namba 9 kwenye dirisha hili.
Vigogo Liverpool kufanya kufuru kwa Alexander Isak LIVERPOOL ipo tayari kutoa dau litakalovunja rekodi ya usajili ya England dirisha hili kwa ajili ya kumsajli mshambuliaji wa Newcastle na timu ya taifa ya Sweden Alexander Isak, mwenye umri wa...