Sesko amesema ‘yes’ Man United STRAIKA, Benjamin Sesko ametoa jibu la 'yes' kwenye mpango wake wa kujiunga na Manchester United katika uhamisho wa dirisha hili la majira ya kiangazi.
Wahi Kwa Mkapa uione Taifa Stars bure CHAN 2024 inaendelea leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, grupu B likicheza mechi zake za pili.
Tafakuri ya mustakabali wa vyombo ya habari: Siku zangu 100 za kwanza Mkurugenzi Mtendaji wa MCL Ilikuwa jioni ya Jumatatu, Aprili 28, 2025 katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Ukumbi ulijaa viongozi wa juu wa Nation Media Group na Mwananchi Communications Limited (MCL). Ilikuwa ni...
New Trafford... Bosi afichua shida ilipo MANCHESTER United inafikiria mambo mawili katika vita yao ya kupata kipande cha ardhi kinachodaiwa ndicho kinachochelewesha kuanza kwa ujenzi wa uwanja mpya wa Pauni 2 bilioni.
Eze, Guehi kutuliza mzuka BEKI wa kati, Marc Guehi na kiungo mshambuliaji Eberechi Eze huenda wote wakabaki Crystal Palace msimu huu baada ya mastaa hao kuwindwa na timu kibao.
Rodrygo afanya uamuzi dili la England, Saudia Winga wa kimataifa wa Brazil, Rodrygo,24, imeripotiwa kufanya uamuzi wa kubaki Real Madrid, licha ya kuvutiwa na ofa nono kutoka klabu za Ligi Kuu England kama Arsenal, Liverpool na Tottenham...
Antony agomea ofa ya tatu WINGA Antony amegomea nafasi nyingine ya kuondoka Manchester United kwa mara ya tatu dirisha hili la majira ya kiangazi akiendelea kushikilia msimamo wake wa kutaka kurudi Real Betis.
Tshabalala rasmi atua Yanga, vita iko hapa Tshabalala anajiunga na Yanga baada ya kuitumikia Simba kwa miaka 11 tangu alipojiunga nayo 2014 akitokea Kagera Sugar.
Watkins ajitoa sadaka dili la Sesko likikwama Man United STRAIKA Ollie Watkins yupo tayari kwenda kuziba pengo endapo kama Manchester United itashindwa kumsajili Benjamin Sesko.
Benjamin Sesko ishu ipo patamu NEWCASTLE United imeboresha ofa yao ya Pauni 70 milioni kwa ajili ya kuhakikisha inaipiku Manchester United kwenye mchakamchaka wa kufukuzia huduma ya straika Benjamin Sesko.