Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8117 results for Mwandishi Wetu :

  1. DEAR EX: Wamezikamua pesa nyingi timu za utotoni zilipowarudisha

    KWA mashabiki wa soka, hakuna kitu kitamu kwao kama kuona mchezaji wao akiibukia kutoka kwenye akademia zao kisha akapata namba kwenye kikosi cha timu ya wakubwa na kufanya vizuri akiwa panga...

  2. Arsenal? ubingwa bado sana Magwiji wafunguka vikwazo vinavyoitesa

    MAGWIJI wa soka la England, Gary Lineker na Alan Shearer wanaamini Arsenal itaangukia pua tena kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu.

  3. SportPesa kuipa Yanga 21.7 bilioni

    Kama unadhani ndoa ya Yanga na kampuni ya michezo ya kubashiri ya SportPesa itaishia njiani unakosea. Pande hizo mbili zimesaini mkataba mpya wenye thamani ya Sh21.7 bilioni.

  4. PRIME Sakata la ‘Ninju’ Yanga, azam FC liko hivi

    AGOSTI 6, 2024 Azam FC ilimpa kijana Abubakar Nizar Othman ‘Ninju’ mkataba wa malezi, yaani wa akademi, wa miaka mitatu ambao ulitakiwa kukoma mnamo Agosti 5, 2027.

  5. Howe afunguka kitu kuhusu Isak

    KOCHA wa Newcastle United, Eddie Howe amekiri kama ingekuwa rahisi kumshawishi straika Alexander Isak abaki kwenye kikosi chake angefanya hivyo muda mrefu sana.

  6. Gyokeres, Havertz wampa mzuka Arteta

    KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta anaamini Viktor Gyokeres na Kai Havertz wanaweza kucheza pamoja baada ya wote kufunga mabao kwenye ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Athletic Bilbao katika mchezo wao...

  7. Van Dijk: Bado tunataka straika

    NAHODHA wa Liverpool, beki wa kati Virgil van Dijk amesema timu hiyo ya Anfield bado ina tatizo kwenye safu yake ya ushambuliaji, inahitaji straika mpya baada ya kuchapwa na Crystal Palance...

  8. Huyo Baleba kaomba kwenda Man United

    HABARI ndo hiyo. Kiungo mkata umeme, Carlos Baleba ameripotiwa kuwasilisha maombi yake ya mdomo kwa mabosi wa Brighton akiwaomba wamfungulie mlango wa kwenda kujiunga na Manchester United.

  9. Matumizi ya pesa yamridhisha Slot

    KOCHA wa Liverpool, Arne Slot amesema kuwa pesa nyingi zinazomwagwa na timu hiyo katika dirisha hili ni lazima zitumike ili wasiachwe nyuma.

    SLOT Pict
  10. Yahya Mbegu atua Mbeya City

    BEKI mahiri wa zamani wa Singida Black Stars, Yahya Mbegu amedaiwa kujiunga na Mbeya City iliyorejea Ligi Kuu Bara kwa msimu ujao, akiungana na wachezaji wengine aliowahi kukipiga nao Singida na...

    MBEGU Pict
Previous

Page 380 of 812

Next