Hugo Ekitike afunguka usiyoyajua kuhusu Mohamed Salah MSHAMBULIAJI wa Liverpool, Hugo Ekitike, amefichua maisha ya nyota wa kimataifa wa Misri, Mohamed Salah, namna anavyoishi ndani ya nje ya uwanja.
Ruben Amorim hana amani Man United, Sunderland yashika hatima yake KOCHA wa Man United, Ruben Amorim amekiri yupo kwenye wakati mgumu, na huenda akapoteza kazi kama atapata matokeo mabaya kwenye mechi ya leo dhidi ya Sunderland.
Nicky Butt awekwa kwenye kona, kulipa fidia ya mamilioni NYOTA wa zamani wa England, Nicky Butt, huenda akalipa maelfu ya pauni kama fidia baada ya kumgonga mtu aliyekuwa anaendesha pikipiki na kumvunja mguu.
Shughuli ya EPL kuendelea wikiendi hii, Chelsea v Liverpool HEKAHEKA za Ligi Kuu England zitaendelea wikiendi hii ambapo mechi nne ambazo zinasubiriwa kwa hamu kwani huenda zikaamua timu ipi itakuwa kuleleni wiki mbili zijazo.
Bodi ya Ligi yavuna Sh27 milioni, yatembeza rungu zito Kamati ya Utendaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Oktoba 2, 2025 ilipitia mwenendo na matukio mbalimbali ya ligi na kufanya uamuzi kwa mujibu wa...
Huyu ndiye Dimitar Pantev, kocha mpya Simba Ndani ya muda mfupi kuanzia sasa, Simba itamtambulisha Dimitar Pantev kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo akirithi mikoba iliyoachwa wazi na Fadlu Davids aliyetimkia Raja Casablanca ya Morocco.
Mabosi wa Real Madrid wapanga hili kwa Konate MABOSI wa juu wa Real Madrid wanafikiria kuachana na mpango wa kuendelea na mazungumzo ya kumsajili beki wa Liverpool na timu ya taifa ya Ufaransa, Ibrahima Konate, katika dirisha lijalo la...
Mabosi Man United wamfikiria Fletcher kumrithi Amorim DARREN Fletcher ameingia kwenye mbio za kuwa kocha wa muda wa Manchester United endapo Ruben Amorim atafutwa kazi.
Postecoglou afunguka kufukuzwa KOCHA wa Nottingham Forest, Ange Postecoglou amesema mashabiki wana haki kuzoea na kutaka afukuzwe sababu ndio wenye timu.