Mabosi washtukia jambo Man United, Amorim anahesabu siku MABOSI wa Manchester United wameonyesha kuchoka na mwenendo wa kikosi hicho kutokana na matokeo mabaya na sasa wanafikiria hasara watakaoipata ikishindwa kufuzu michuano ya Ulaya msimu ujao na...
Amza, Ngereka waibeba Bandari Kenya NYOTA wa zamani wa Kagera Sugar, kipa Alain Ngeleka na mshambuliaji Moubarack Amza jioni hii wameibeba Bandari FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Kenya baada ya timu hiyo wanayoitumikia kwa sasa...
Ingwe yabanwa ugenini, Sofapaka ikilala nyumbani MABINGWA wa zamani wa Kenya, AFC Leopards ikicheza ugenini imenyang'anywa tonge mdomoni jioni na Posta Rangers baada ya kulazimishwa sare ya mabao 2-2 katika mechi ya Ligi Kuu (KPL).
Skauti wa Simba ajiweka pembeni, afichua ishu nzito Kuondoka kwa Daalder kumetokea wiki chache tangu aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo Fadlu Davids kuikacha Simba na kujiunga na Raja Casablanca ya Morocco.
Ronaldo aandaliwa ulinzi maalum India POLISI wa Goa huko India wametoa taarifa kuhusu mipango ya usalama iwapo Cristiano Ronaldo atasafiri na klabu yake ya Al-Nassr kwa ajili ya mechi ya Ligi ya Mabingwa Asia dhidi ya FC Goa.
Amorim athibitisha Man United kucheza na Al-Nassr KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amethibitisha kuwa kikosi hicho kinapanga kuandaa mechi za kirafiki katikati ya msimu ili kuongeza mapato, kutokana na ukosefu wa ushiriki kwenye...
Watanzania vicheko wakizidi kuneemeka mitandaoni FURAHA inazidi mioyoni mwa Watanzania ambao wamethubutu na kushiriki katika minada inayoendeshwa mitandaoni kwani wameendelea kujizolea zawadi mbalimbali zenye thamani kubwa. Katika moja ya...
Hugo Ekitike afunguka usiyoyajua kuhusu Mohamed Salah MSHAMBULIAJI wa Liverpool, Hugo Ekitike, amefichua maisha ya nyota wa kimataifa wa Misri, Mohamed Salah, namna anavyoishi ndani ya nje ya uwanja.