McCarthy: Tulichokutana nacho Burundi haikuwa mechi ya soka ni vita
Kocha Benni McCarthy, amesema kikosi chake cha timu ya taifa ya Kenya, Harambee Stars, hakikutekeleza vyema mpango waliouweka katika mechi ya kufuzu Kombe la Dunia la FIFA 2026 dhidi ya wenyeji...