Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8552 results for Mwandishi Wetu :

  1. Timu kiboko kwa kuchelewesha muda England

    UNAKUWA kwenye hali gani, timu yako inahitaji bao na mpinzani unayekabiliana naye, wachezaji wake wanapoteza tu muda uwanjani, kwa kujiangusha au kuchelewa kurusha mpira au kupiga golikiki.

    ENGLAND Pict
  2. Liverpool, Man United utamu upo hapa Anfield

    LIVERPOOL pengine imejeruhiwa, lakini Manchester United itahitaji kuwa fiti kwenye maeneo mengi kupata matokeo ya uwanjani Anfield, Jumapili.

    DABI Pict
  3. Utaamua unarudi tena Ulaya

    LIGI Kuu za Ulaya zinarejea baada ya kupisha mikikimikiki ya mechi za kimataifa, huku mashabiki wakitarajia kuona kasheshe zito zitakalotokea kwenye Ligi Kuu England, La Liga, Bundesliga, Serie A...

    LIGI Pict
  4. Amorim hana presha, yuko freshi tu!

    WAKATI wa mapumziko ya mechi za kimataifa, umesikia mengi kuhusu Manchester United.

    AMORIM Pict
  5. Bayern, Barca ni jino kwa jino kwa Dusan Vlahovic

    BARCELONA inaangalia uwezekano wa kumsajili mshambuliaji wa Juventus na timu ya taifa ya Serbia, Dusan Vlahovic, mwenye umri wa miaka 25, ambaye anatarajiwa kuwa mchezaji huru mwisho wa msimu huu.

    FUNUNU Pict
  6. Rice awaza ubingwa Kombe la Dunia

    KIUNGO ghali wa Arsenal, Declan Rice amesema tena kwa msisitizo kwamba England haipaswi kuwa waoga wa kusema itakwenda kushinda taji la Kombe la Dunia.

    RICE Pict
  7. Watanzania waitwa kujaribu bahati Azam FC ikimsaka mrithi wa Popat 

    Azam FC imetoa wito kwa Watanzania kuchangamkia nafasi ya Mtendaji Mkuu iliyoachwa wazi na Abdulkarim Nurdin maarufu kama Popat.

    POPAT Pict
  8. Petit: Wirtz? Hana ile thamani buana

    USAJILI wa Liverpool wa staa wa Pauni 116 milioni, Florian Wirtz ameanza vibaya maisha yake huko Anfield, hajafunga wala kuasisti kwenye Ligi Kuu England tangu alipojiunga kutoka Bayer Leverkusen.

    WITZ Pict
  9. Wawili watia presha Arsenal

    MASTAA Martin Zubimendi na Ben White wanampa presha kocha Mikel Arteta baada ya kudaiwa kuwa majeruhi wakati kikosi cha Arsenal kikijiandaa na mechi ya Ligi Kuu England dhidi ya Fulham.

    ARSENAL Pict
  10. Wembanyama anadaiwa kukaribia futi nane

    YULE fundi wa mpira wa kikapu wa kimataifa wa Ufaransa, Victor Wembanyama anadaiwa kuongezeka kwa nchi nne na sasa ikielezwa kwamba kuwa anakaribia urefu wa futi nane.

    WAMBENYANA Pict
Previous

Page 348 of 856

Next