Wachezaji Man United wamemchoka Amorim KIMENUKA. Lisemwalo ni kwamba mastaa wa Manchester United wamepoteza imani na kocha Ruben Amorim.
Tuwe na msimu bora wa Ligi Kuu Bara Pazia la msimu mpya wa Ligi Kuu Bara 2025/26 lilifunguliwa jana kwa mchezo wa Ngao ya Jamii uliozikutanisha miamba ya soka Yanga na Simba.
PRIME Kazi imeanza, unabisha ulikuwepo? MSIMU wa 62 wa Ligi Kuu Bara unaanza leo kwa mechi mbili zitakazopigwa katika majiji ya Tanga na Dar es Salaam. Kupigwa kwa mechi hizo kunaashiria kuanza vita ya karibu miezi tisa...
Yanga sasa wababe wa Kariakoo Dabi Yanga imeendeleza ubabe kwa Simba baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa fainali ya Ngao ya Jamii uliochezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Kocha: Man United imemvuruga Baleba KOCHA wa Brighton, Fabian Hurzeler amekiri kiungo wake Carlos Baleba ameathiriwa na kelele za kuhusu kukwama kwa dili lake la kwenda kujiunga na Manchester United.
Mgombea Benfica amtaka Jurgen Klopp MMOJA wa wagombea urais kwenye klabu ya Benfica ametoa ahadi ya kumwajiri Jurgen Klopp kwenda kuwa kocha wa timu hiyo endapo kama ataibuka mshindi kwenye uchaguzi mwezi ujao.
Ligi Kuu ya Tanzania 2025/2026: Viwango na Ubashiri Maelezo: Ni timu zipi zitakutana msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania 2025/2026? Ubashiri kutoka kwa wauzaji wa ubashiri na ratiba ya mechi. Chaguo zilizopo za ubashiri. Ligi Kuu ya Tanzania –...
Jeremy Doku aenda kubatizwa fasta STAA wa Manchester City, Jeremy Doku amekamilisha furaha yake ya kuwakanda Manchester United huko Etihad kwa kwenda kupatizwa na kumpokea Yesu.
Magwiji Man United wampa onyo Amorim RUBEN Amorim ameambiwa aache kuwa kichwa ngumu na badala yake abadilishe staili ya uchezaji kama anataka kuendelea kubaki kwenye kibarua cha kuinoa Manchester United.
Mabingwa Ulaya utamu kunoga MCHAKAMCHAKA wa Ligi ya Mabingwa Ulaya unarudi upya wiki hii, wakati miamba ya soka itakapotupa kete zao za kwanza katika msako wao wa ubingwa wa mikikimikiki hiyo.