Wawakikishi wetu CAF malizeni kazi nyumbani WIKIENDI hii mashabiki wa soka la Tanzania Bara na Zanzibar wanatarajia kwa hamu kuona klabu zao zikikamilisha kazi katika mechi za marudiano za mashindano ya CAF.
Neville atuma ujumbe kwa Mikel Arteta LEJENDI wa Manchester United na mchambuzi wa soka, Gary Neville amedai kwamba Mikel Arteta atajutia kutokubali kwamba ana woga katika kushambulia jambo ambalo lilionekana katika mechi iliyopita...
Mambo yamnyookea Simbu jeshini, sasa ni Sajinitaji Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob John Mkunda amempandisha cheo, Sajini Alphonse Simbu kuwa Sajinitaji (Staff Sergeant) baada ya kutwaa medali ya dhahabu katika mashindano ya dunia ya...
Manchester United yamweka katika rada zake Harry Kane MANCHESTER United inafanya mpango wa kumsajili straika wa Bayern Munich, Harry Kane, 32, dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
Lina Tour msimu wa nne waanza kurindima leo Morogoro WACHEZAJI takribani 137 wamejitosa kushiriki mashindano ya Lina PG Tour msimu wa nne yaliyoanza leo kwenye viwanja vya Gofu vya Gymkhana mkoani Morogoro.
Mkurugenzi Mtendaji CECAFA asimamishwa Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) limemsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji wake, Auka John Gecheo, kufuatia uamuzi wa Kamati Tendaji ya baraza hilo.
Jeraha la Palmer tatizo Chelsea CHELSEA ipo katika njia panda kuhusu mbinu gani katika kutibu tatizo la nyonga la staa wao Cole Palmer, ambaye kuna njia nyingi ikiwamo upasuaji.
Majeruhi Liverpool, Slot kichwa kinauma BAADA ya beki chipukizi Giovanni Leoni kupatwa na majeraha katika mechi ya mashindano ya Carabao dhidi ya Southampton, kocha wa Liverpool, Arne Slot sasa kichwa kinauma.
Wanafyekwa! Ripoti ya kocha Man United ipo hivi KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim ameshawasilisha baadhi ya sehemu za ripoti yake ya usajili wa dirisha lijalo la majira ya kiangazi ambayo inaonyesha beki Harry Maguire ataongeza mkataba...