Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

10015 results for Mwandishi :

  1. MZUKA WA GOFU: Tanzania na historia ya kibabe

    GOFU ni miongoni mwa michezo mikongwe hapa nchini ukiachana na soka, riadha na ngumi ikielezwa kwamba ulianza kuchezwa mwaka 1950. Wakati mchezo huo unaanza kuchezwa ilikuwa ni miaka 10 kabla ya...

  2. Kwa Mkapa kisasa zaidi, kuanza kuboresha haya...

    YANGA ipo kwenye hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika ikiwa imefanya vizuri zaidi kwenye michuano ya Afrika kuliko kipindi kingine chote ambacho imeshiriki michuano hiyo. Hata...

  3. Raundi ya 29, kibabe zaidi Bara

    RAUNDI ya 29 ya Ligi Kuu Bara juzi ilifungwa kibabe kwa kushuhudia matokeo ya kushangaza, lakini gumzo likiwa kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya na Azam Complex, Dar es Salaama wakati vigogo...

    New Content Item (1)
  4. Simba, Yanga yoyote aje

    LEO ni siku muhimu kwa soka la Tanzania na Afrika kwa ujumla wakati ambapo droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho hatua ya robo fainali itakuwa ikipangwa pale Cairo nchini...

  5. Ufaransa, Ujerumani zilikuwa na mfumo kama wa FFP -3

    KWENYE toleo lililopita tuliona namna Ligi Kuu England, Serie A na La Liga timu zao zilivyoathiriwa kwa madeni makubwa katika kujiendeesha baada ya kufanya matumizi makubwa kuliko mapato yao na...

  6. Robertinho, Nabi washindwe wao tu

    HAKUNA namna kwa makocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’ wa Simba na Nasreddine Nabi wa Yanga kwenye mechi za raundi ya pili ya makundi ya michuano ya kimataifa barani Afrika. Makocha hao...

  7. Masatu akosa penalti, Simba ikaichapa Yanga

    KATIKA mfululizo wa makala ya maisha ya Kocha Msaidizi wa Simba, Selemani Matola, toleo la kwanza tuliona jinsi ambavyo kocha huyo alivyotoka mkoani kwao Kigoma na kuanzia safari yake ya soka...

  8. PUMZI YA MOTO: Kuna jambo Yanga inapaswa kulifikiria sasa

    BAADA ya ushindi wa ugenini wa bao 1-0 dhidi ya TP Mazembe kwenye mechi ya mwisho ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho la Afrika, Rais wa Yanga, Hersi Said aliposti picha akiwa ndani ya...

    New Content Item (1)
  9. Mechi nne za moto Ligi ya Mabingwa

    LIGI ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali inaanza wikiendi ijayo, ikiwa na sura tofauti na hatua ya makundi ambayo ilimalizika hivi karibuni. Hii ni hatua nyingine muhimu ambayo mashabiki...

  10. SIMBA DAY: Simba ni taifa kubwa, mabingwa wa nchi

    MABINGWA wa soka nchini, Simba inajiandaa kuadhimisha siku maalumu ya klabu hiyo maarufu kama Simba Day. Tofauti na ilivyozoeleka, tamasha la msimu huu linafanyika Septemba 19 badala ya Agosti...

Previous

Page 993 of 1002

Next