Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

10011 results for Mwandishi :

  1. Viwanja pesa: Man United yauza nyasi za Old Trafford, Barca na almasi za Camp Nou

    MANCHESTER United imeanza kuuza vipande vya nyasi za Uwanja wa Old Trafford kwa mashabiki wake, kila kipande kikiuzwa kwa pauni 125 (takriban Sh400,000 za Tanzania).

    VIWANJA Pict
  2. Arsenal haijasajili mashine ya kushoto, lakini kulia pa moto

    ARSENAL kwa mbali ndiyo timu inayotegemea zaidi upande wa kulia inapofika kwenye namna inavyoshambulia katika Ligi Kuu England.

    ARSENAL Pict
  3. Pamotoo! Ballon d’Or 2026 ilivyoanika ‘udhaifu’ washambuliaji EPL

    JUMATATU usiku, Oktoba 26, mwaka huu, zile tuzo za mchezaji bora Ulaya za Ballon d’Or 2026 zitatolewa katikati mwa Jiji la London kule England, ambako ndiko ilipo ligi maarufu zaidi ya soka...

    TUZO Pict
  4. Kanuni kali migusano pigo la kona ilivyobadili mambo Ligi Kuu England

    WAAMUZI katika Ligi Kuu England (EPL), wameagizwa kuchukua hatua kali dhidi ya wachezaji wanaoshikana wakati wa mipira ya kona, na takwimu zinaonekana kuonyesha kwamba hatua hiyo imeanza kuwa na...

    NGOMA Pict
  5. Aston ya Watkins, Villa ya Manzambi!

    Uwanja wa Villa Park unafanyiwa ukarabati msimu huu, huku kikosi cha Aston Villa nacho kikiwa kimefanyiwa mabadiliko makubwa. Hata hivyo, Villa tayari inaanza kuzoeana kwa wachezaji wake wapya...

  6. Taifa Stars inavyopaswa kujipanga upya

    TANZANIA 'Taifa Stars' inaelekea kwenye fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 ikiwa na nafasi ya kutumia faida ya kucheza nyumbani kufanya vizuri zaidi ya ilivyowahi kufanya katika...

    STARS Pict
  7. Mastaa Ulaya wapata tuhuma nzito Afrika

    Kuczynski, mwandishi wa kitabu cha uhakika ‘African marabouts in Paris’, alipata wateja wanaotoka katika wigo mpana wa kijamii, kutoka kwa wahamiaji wasio na vibali hadi wahitimu na walimu.

  8. MZEE WA UPUPU: Kusuasua kwa Chelsea, nini hakiendi sawa darajani?

    MABINGWA wa klabu bingwa ya dunia, Chelsea FC, wanapitia moja ya nyakati ngumu zaidi ndani ya karne ya 21. Walimaliza msimu uliopita bila taji lolote. Klabu bingwa ya dunia ilikuwa kwa ajili ya...

  9. MAKALA MAALUM: Anguko la TP Mazembe - 2

    Katika toleo lililopita, tuliona historia ya klabu ya TP Mazembe kuanzia mwanzo wake, maana ya jina lake na mafanikio yake ya miaka ya 1960 na mwanzoni mwa miaka ya 1970. Leo tutaangalia anguko...

  10. PRIME MTU WA MPIRA: Try Again aondoke Simba, ili aje nani?

    SALIM Abdallah Muhene. Huku mtaani anafahamika zaidi kama Salim ’Try Again.’ Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba. Aliteuliwa kwa mara ya pili mwaka huu na bilionea na mwekezaji wa klabu...

Previous

Page 969 of 1002

Next