Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

10009 results for Mwandishi :

  1. PRIME Njia mpya za Simba CAF

    NI sawa kusema tunaanzia pale tulipoishia msimu uliopita, baada ya asilimia kubwa ya kila kitu kuhusu Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho kukamilika, kwani mambo yanaanza rasmi mapema...

  2. Salute! Huyu Bocco apewe maua yake

    KUNA John Bocco mmoja tu nchini. Jamaa mmoja mrefu, ‘kauzu’ flani mwenye mzuzu kidevuni. Huyu ndiye nahodha wa Simba akitimiza msimu wa saba akiwa na kikosi hicho. Simba ilimnyakua msimu wa...

  3. Simba ipitie hapa, itatoboa

    BAADA ya kutawala soka la nchi kwa miaka minne mfululizo, Simba inaelekea kumaliza msimu wa pili sasa bila ya taji lolote na uamuzi mgumu unapaswa kufanywa ili kuirejesha timu katika makali yake.

  4. Mechi inayofuata baada ya kipigo kikubwa -2

    TUNAENDELEA na mfululizo wa makala zetu za kuelekea mechi ya watani wa jadi, Aprili 20, 2024. Mchezo wa Aprili 20 utakuwa wa kwanza baina ya jamaa hawa tangu Novemba 5, 2023 ambapo Yanga...

  5. PRIME Pointi tatu tata Dabi ya Kariakoo

    Simba itakuwa mgeni wa Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara Jumamosi ijayo, mechi ambayo itakuwa na maswali mengi ambayo yanahitaji majibu.

  6. Tshabalala awaachia msala wazawa Simba

    Simba kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa eneo gumu sana kwa wachezaji wazawa wanaosajiliwa kupata nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza na kuonyesha ubora. Wengi husajiliwa kisha baadaye...

  7. JIWE LA SIKU: Chama kaamua kuwajibu Simba

    TANGU mwishoni mwa mwaka jana kumekuwa na maneno mengi sana kuhusu kiwango cha kiungo Clatous Chama ‘Mwamba wa Lusaka’. Baadhi ya mashabiki na wachambuzi wa soka wamekuwa wakisema kuwa, ni...

  8. Ligi kuu England ni mshikemshike ndege tunduni

    Mchakamchaka chinja. Ndicho kinachokwenda kutokea kwenye Ligi Kuu England wikiendi hii, ambapo vita imezidi kuwa kali kwenye kilele cha mikikimikiki hiyo ya kibabe kabisa.

  9. Misri yazifuata Morocco, Tunisia Kombe la Dunia

    MISRI imeungana na Morocco na Tunisia kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2026 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Djibouti katika mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa Larbi Zaouli...

    MISRI Pict
  10. KMKM, Azam kuna mtu atashangazwa, rekodi zinaongea

    KIMAHESABU hadi sasa Tanzania imeshajihakikishia nafasi moja kati ya nne za kutinga makundi ya michuano ya kimataifa inayosimamiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kwa msimu huu.

    FAMILIA Pict
Previous

Page 932 of 1001

Next