Morocco: Tishio jipya Kombe la Dunia 2026 Baada ya kuweka historia kubwa katika Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar na kuwa taifa la kwanza kutoka Afrika kufika hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia, sasa Morocco inaingia katika Fainali...
Christopher Tebandeke: Kuwakaba Libase, Oura sio rahisi YANGA, Simba na Azam zinatajwa kuwa ndiyo zenye wachezaji wenye makali zaidi Ligi Kuu Bara msimu huu linapokuja suala la kucheka na nyavu, hilo linathibitishwa na msimamo wa ligi hiyo ulivyo...
Mambo kibao Barcelona ikitwaa ubingwa La Liga BARCELONA wametwaa ubingwa wa 29 wa Ligi Kuu Hispania (La Liga), baada ya kuwafunga wapinzani na watani wao, Real Madrid kupitia mechi ya El Clasico, iliyopigwa juzi, lakini nyuma ya pazia...
Moto wa EPL: Arsenal yakaba kileleni, vita ya kushuka daraja yanoga VITA mbalimbali zinaendelea katika ligi tano bora za Ulaya kwa sasa, huku pendwa ya England ikipigwa tena leo baada ya Leeds United na Burnley kumalizana katika mzunguko wa 35, jana usiku.
WAMOTO SI MCHEZO: Messi, Ronaldo wanavyoburuzwa na Giggs Ligi ya Mabingwa Ulaya NUSU fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya inapigwa leo, ambapo PSG itaikaribisha Bayern Munich katika dimba la Parc des Princes lililopo Paris, Ufaransa lenye uwezo wa kuchukua watu 47,929.
Wakali wa asisti msimu mmoja Ligi Kuu England KUTOKANA na Bruno Fernandes kuwa katika nafasi nzuri zaidi ya kuvunja rekodi ya pasi za mwisho (asisti) nyingi zaidi katika msimu mmoja wa Ligi Kuu England, hawa ndio bado anapaswa kuwazidi ili...
Argentina yatembeza viatu, England yalia KIPIGO cha England kutoka kwa Argentina katika nusu fainali ya Kombe la Dunia kilikuwa mchezo kilichangiwa na mabingwa hao watetezi kufanya faulo kwa wastani wa kila baada ya dakika nne kwenye...
Fahamu BMI kikotozi cha kutathimini uzito WAKATI ligi za soka katika nchi mbalimbali duniani zikifikia tamati mwishoni mwa wiki iliyopita, Ligi Kuu Bara iliendelea juzi kwa mechi mbili kabla ya kusimama kupisha kalenda ya Fifa kwa nchi...
Hat-trick za Kombe la Dunia KUMEKUWAPO na mastaa wachache waliofunga mabao matatu (hat-trick), katika Kombe la Dunia tangu zilipoanzishwa fainali hizo 1930 nchini Uruguay, ikilinganishwa na umri wa miaka 106 wa mashindano...
Tuchel alivyojivisha mabomu England WAINGEREZA hawaamini. Thomas Tuchel ameanza rasmi hesabu zake kwa kutuma ujumbe mzito kwa mastaa wa taifa hilo baada ya kufanya maamuzi magumu yaliyoitikisa wadau na mashabiki wa soka nchini humo...