Fainali ya AFCON 2025; Senegal wanaye Mane, Morocco yupo Brahim HAYAWI hayawi, ndiyo hivyo yamekuwa sasa. Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) TotalEnergies Morocco 2025 itachezwa kati ya Senegal na wenyeji Morocco siku ya Jumapili, Januari 18 katika...
Mahadhi: Yanga walimleta mama uwanja wa ndege TANZANIA imebarikiwa kuwa na wachezaji wengi mahiri na kila mgeni aliyewahi kufika hapa nchini, amekuwa akisema Tanzania ina wachezaji wengi bora. Baadhi ya watu maarufu katika soka duniani...
Miaka 60 ya kihistoria michezoni DESEMBA 9, mwaka huu Watanzania hususan wale wa Tanzania Bara wataadhimisha miaka 60 tangu Tanganyika ipate Uhuru kutoka kwa Waingereza. Ukiitazama historia kuanzia soka na michezo mingine kuna...
Chama la Wakongo mziki wake Yanga si mchezo! MASHABIKI wa Simba wameanza kuliimba jina la straika mpya wa timu hiyo kutoka DR Congo, Jean Baleke baada ya kufunga mabao mawili katika mechi za Ligi Kuu Bara. Straika huyo amekuwa mchezaji wa...
PRIME Misimu 15 ya Azam Bara sio mchezo LIGI Kuu Bara msimu wa 2023-2024 unatarajiwa kuanza kati ya Agosti na Septemba ikishirikisha jumla ya timu 16, zikiwamo tatu zilizopanda daraja kutoka Ligi ya Championship. Timu hizo zilizopanda...
Simba na Warundi ni damudamu! NI ukweli usiopingika, soka la Tanzania limekuwa kivutio kwa nyota wa kigeni tangu miaka ya 1970 hadi leo, ikishuhudiwa mastaa mbalimbali kutoka mataifa tofauti wakimiminika kuja kucheza...
Mzee Ruksa alivyochangamsha michezo MZEE Ruksa ameumaliza mwendo. Miaka 98 ya uhai wake duniani imefikia tamati juzi Februari 29 baada ya kutangazwa amefariki dunia. Alikuwa amekabakisha miaka miwili tu kutimiza karne moja. Sio...
VAR inang'ata na kupuliza Kombe la Dunia 2026 Mfumo wa matumizi video za usaidizi kwa waamuzi 'Video Assistant Referee' (VAR) umeendelea kuzua mijadala kila uchwao.
PRIME Ilikuwa ni lazima wapewe Thank You SIMBA imetangaza kuacha wachezaji nane, huku Yanga ikiwatema wanne, ilihali Azam ikiwapiga chini nyota saba akiwamo aliyekuwa kocha mchezaji, Aggrey Morris aliyedumu katika kikosi hicho kwa muda...
Matola atumiwa nauli aingia mitini -1 MOJA ya makocha chipukizi wazawa ambao wanaaminika kuwa ni bora kwenye soka la Tanzania kwa sasa basi ni kocha msaidizi wa Simba Suleiman Matola ambaye amefanya mambo makubwa kadhaa kwenye soka...