MZEE WA UPUPU: Simba sawa, lakini Pamba inaongoza Bara Kimataifa
MAADA ya ushindi wa mabao 7-0 dhidi ya Horoya, meneja wa habari wa Simba, Ahmed Ally, alitania mbele ya waandishi wa habari kwamba ushindi wao ni mkubwa kwenye mashindano ya CAF, ukifuatiwa na...