Simba sio kinyonge msimu huu SIMBA ya kibabe Afrika, ndio ndoto ya kila shabiki wa timu hiyo wakati Wekundu wa Msimbazi wakitaka kuisahau njozi mbaya ya kumaliza msimu wa pili bila ya taji lolote na huku wakijiandaa na...
Mapokezi Simba Dar yaua shabiki mmoja KATIKA mwendelezo wa makala iliyotokana na mahojiano maalumu na nyota za zamani wa kimataifa wa Tanzania aliyewahi kutamba na timu kadhaa ikiwamo Simba na Taifa Stars, Seleman Matola tuliona...
Mtani! Tripu hii sikuachi... KUNA mambo mawili kwenye mechi ya leo Jumapili saa 11 kamili jioni kwenye Uwanja wa Mkapa. Achana na ishu ya Moses Phiri kupania kuifunga Yanga kwa mara ya kwanza. Au Aziz Ki kutaka kuweka...
Hesabu ya pointi Simba, Yanga CAF HALI imechafuka. Dakika 180 za Simba na Yanga kwenye mechi za hatua ya makundi, zimetoa picha tofauti na iliyokuwa ikidhaniwa awali. Hivyo,kimahesabu ni kwamba watahitaji pointi 10 ili kuwa salama.
PRIME Kwa Pacome, Chama na Ngoma watasubiri sana WAKATI mtandao wa Transfermrkt ukionyesha kuwa Pacome Zouzoua ana thamani ndogo kuliko Clatous Chama na Mzamiru Yassin, kiungo huyo wa Yanga ameonekana kuwakimbiza wawili hao wa Simba katika...
Kwa huyu Akram, wala tusidanganyane! MASHABIKI wengi wa soka wanalikumbuka jina la Hassan Afif kutokana na boli alilotembeza katika michuano ya Kombe la Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (sasa Kagame Cup) ya mwaka 1991. Katika...
Villa yatakata ugenini, Celtic, Rangers hali mbaya Europa League USIKU wa Ulaya umeendelea Oktoba 2, 2025 ambapo mechi 36 za michuano ya Europa League na Europa Conference zimechezwa.
Ligi Kuu ya Tanzania 2025/2026: Viwango na Ubashiri Maelezo: Ni timu zipi zitakutana msimu mpya wa Ligi Kuu ya Tanzania 2025/2026? Ubashiri kutoka kwa wauzaji wa ubashiri na ratiba ya mechi. Chaguo zilizopo za ubashiri. Ligi Kuu ya Tanzania –...
Miaka 63 ya kibabe michezoni LEO ni Desemba 9. Hii ni siku muhimu kwa Watanzania hasa wa Tanzania Bara (zamani Tanganyika) ambao wanasherehekea Miaka 63 ya Uhuru tangu ilipojikomboa kutoa kwa Koloni la Kiingereza tarehe kama...
Kasi ujenzi Uwanja wa AFCON Arusha yamkosha Mwana FA NAIBU Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo Hamis Mwinjuma ameipongeza Kampuni ya CRCEG ya kutoka nchini China ambayo inajenga uwanja wa mpira wa miguu jijini Arusha utakaotumika kwa michuano ya...