MZEE WA UPUPU: Mgunda katika njia ya Tito Mwaluvanda
MWAKA 1997, Yanga ilimfukuza kocha wake raia wa Uingereza, Steve McLennan na timu kubaki kwa msaidizi wake, Juma Pondamali hadi mwisho wa msimu.
Msimu mpya wa 1998 ulipoanza, mwenyekiti wa klabu...