Mikasa 9 ya kibabe ya Hans Poppe Simba mabao 5-0 dhidi ya AS Vita. Manara alichukizwa na tukio la mwandishi wa Clouds FM, Shaffih Dauda kuweka kibonzo kimoja ya jitu kubwa likipigana na ‘kamtu’ kadogo na Manara kutafsiri Dauda...
MTU WA MPIRA: Wachezaji Simba wanacheza kama Messi? KUNA wakati lazima ukweli usemwe. Haijalishi ni mchungu kiasi gani. Haijalishi unamuumiza nani, lakini ukisema unakuwa huru. Leo nitasema ukweli kuhusu hawa wachezaji wa Simba. Ni kweli Simba...
PUMZI YA MOTO: JKT Queens inapotufundisha uzalendo kupitia michezo USIKU wa Jumamosi ya Novemba 11, timu ya soka ya wanawake (JKT Queens) inayomilikiwa na jeshi la kujenga taifa (JKT) kupitia klabu ya JKT Tanzania SC ilitolewa hatua ya makundi ya fainali za...
Dakika 90 kuamua usajili Simba, Yanga USAJILI wa dirisha dogo ni kama umezitega Simba na Yanga, kwani unazilazimisha kushinda michezo yao inayofuata ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba na Yanga kwa mara ya kwanza zipo kwenye...
MTU WA MPIRA: Kuna namna Yanga inaendeshwa kisela HII nchi huwa haiishi vituko. Kila siku tunaamka na vituko vipya na kulala na vingine. Inachekesha sana. Ndio kama kilichotokea wiki hii pale Yanga. Ni mambo ya ajabu sana. Ni kituko kutokea...
MAKALA MAALUM: Anguko la TP Mazembe -3 KATIKA sehemu iliyopita tuliona ni namna gani siasa za nchi, kukosa udhamini na siasa za ndani za klabu ziliposababisha anguko la kwanza la TP Mazembe. Katika toleo la leo, tutaona namna ujio wa...
Kipigo cha refa chaiamsha TFF Dar es Salaam. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeonya kuwa litatoa adhabu kali kwa mdau au mchezaji wa soka atakayethubutu kufanya tukio la kumpiga mwamuzi kama lililotokea Uturuki...
Mrisho Ngassa: Nilivaa jezi ya Yanga kwa hasira MRISHO Khalfan Ngassa ni winga anayekubalika katika soka la Bongo na sehemu nyingi. Ni winga mwenye kasi awapo kwenye majukumu. Ngassa amecheza soka kwa mafanikio akiwa na timu tofauti hasa Yanga.
Simba v Yanga miaka 60 ya Uhuru KAMA utani vile. Tanzania Bara imetimiza Miaka 60. Ndio, juzi Alhamisi ilikuwa kilele cha Miaka 60 tangu Tanganyika kupata uhuru wake kutoka kwa Wakoloni. Tanganyika ilipata uhuru wake Desemba 9,...
PRIME Simba bado wawili ianze kunoga, Mbrazil yumo Klabu ya Simba jana imekamilisha usajili wa winga Aubin Kramo kutoka ASEC Mimosas ya Ivory Coast kwa mkataba wa miaka miwili na anauwezo wa kucheza nafasi tatu tofauti uwanjani ikiwemo winga zote...