Vyuma vitatu vinaondoka na utamu wake England MWISHO wa msimu wa Ligi Kuu England (EPL) unatarajiwa kuwa wa kihistoria, ukibeba simulizi tamu na chungu.
Uholanzi mastaa kibao, ndo kwanza wanasaka taji la kwanza World Cup KWA zaidi ya nusu karne sasa, timu ya taifa ya Uholanzi imeendelea kubeba hadhi ya kuwa moja ya timu bora zaidi kuwahi kucheza soka duniani bila kunyanyua Kombe la Dunia.
Jordan: Wageni wenye kamba mguuni Kombe la Dunia 2026 KWA mara ya kwanza kabisa katika historia yao, timu ya taifa ya Jordan maarufu kama Al Nashama (Mashujaa) itaungana na Uzbekistan nayo kutoka Asia kushiriki Kombe la Dunia 2026 huko Amerika...
Rekodi zatikisa EPL 2025/26, Salah aandika historia mpya LIGI Kuu England ilimalizika juzi, ikiondoka na utamu ambao mashabiki wa soka duniani waliushuhudia kwa takriban miezi 10, huku mastaa kibao wakiaga katika vikosi walivyovitumikia kwa misimu...
Mikono yao itaamua ubingwa Kombe la Dunia NI nyota wa ushambuliaji ambao huenda waongoza katika vichwa vya habari kwenye fainali za Kombe la Dunia la 2026 zinazoanza leo, lakini nyuma ya kila bao la Lionel Messi, kuna Emiliano Martinez...
Mechi 10 usizopaswa kuzikosa Kombe la Dunia KWA kuwa kutakuwa na michezo mingi katika makundi 12 ya Kombe la Dunia 2026 kabla ya kufika hatua ya mtoano, hizi hapa ni 10 ambazo inafaa uhakikishe kwamba huzikosi walau kutupia jicho lako...
Kutoka ubingwa wa Pele hadi ‘headbutt’ ya Zidane WAKATI fainali za Kombe la Dunia 2026 zikibakiza takriban wiki tatu na ushee, mambo ni moto! Tayari timu za mataifa mbalimbali zinazopigana vikumbo kukiwasha mwaka huu huko Marekani, Canada na...
Misri yalia mwamuzi kuwanyonga ZIKIWA zimesalia dakika 12 kabla ya muda wa kawaida kumalizika, Misri ilikuwa ikikaribia kupata matokeo makubwa zaidi kuwahi kuyapata katika historia yake ya Kombe la Dunia.
PRIME Sinema nzima ya Ihefu, Singida Big Stars ya Singida Fountain Gate, Singida Black Stars na Ihefu Football Club, nani anajua kinachofuata? Labda serikali itaona umuhimu wa mashabiki na kuingilia kati kama Uingereza ilivyofanya. Na hapo...
Mikasa ya Duchu hakuzingatiwa kama ilivyo Ligi Kuu Tanzania Bara. “Japokuwa nasikitika sana, Lipuli kushuka daraja timu yangu ya kwanza kuichezea ligi kuu, kiukweli naona ndio iliotoa mwanga wa kufika hapa nilipo...