Simbu aandika historia Tokyo, atwaa dhahabu ya Mbio za Dunia MWANARIADHA nyota wa kimataifa wa Tanzania, Alphonce Simbu ameweka rekodi na historia ya kuwa Mtanzania wa kwanza kutwaa medali ya dhahabu katika mashindano ya dunia ya riadha 2025 yaliyofanyika...
Ahamada yeye ni Aziz KI, Fei Toto na Foba KAMA ulikuwa unafikiri Azam FC walimsajili Ali Ahamada miaka mitatu iliyopita kwa sababu ya mkwanja mrefu ambao waliuweka mezani, basi ulijidanganya. Mcomoro huyo amezungumza nini kilimfanya...
NDO HIVYO: Usajili unavyoneemesha, kutafuna wachezaji TUNASHUHUDIA maisha ya wanasoka yakianza kubadilika mara wanaposaini mikataba ya kuchezea timu kubwa za Ligi Kuu za nchi mbalimbali kama ya Tanzania Bara, ambako timu vigogo ni Azam, Simba na...
Makipa janga timu ya taifa Simba, Yanga na Azam, ni timu ambazo zimekuwa zikitawala soka la Tanzania kwa muda mrefu. Kuanzia mwaka 2008 ambapo Azam FC ilianza kushiriki Ligi Kuu Bara, timu hizi tatu pekee ndizo...
Kinachoiponza Yanga chaanikwa hadharani KABLA ya kuingia kwenye mechi ya Kundi A la Ligi ya Mabingwa Afrika juzi ambayo Yanga ililala 2-0 nyumbani Kwa Mkapa dhidi ya Al Hilal ya Sudan, kocha mpya wa timu hiyo ya Jangwani ambaye hana...
Kagame 2024 mwisho wa ubishi, ni APR au Red Arrows! FAINALI za 47 za Klabu Bingwa kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati, maarufu kama Kombe la Kagame 2024 zinafikia tamati leo Jumapili. Fainali hiyo inayopigwa kuanzia saa 1:00 usiku inazikutanisha...
PRIME ONE MAN SHOW! Hawa jamaa ni mastelingi wa msimu kwenye Ligi Kuu England SUPASTAA, Mohamed Salah kila anachoweka mezani msimu huu kinauzika. Kwenye Ligi Kuu England, mkali huyo wa kimataifa wa Misri, amehusika kwenye mabao 41 kwa maana ya kufunga na kuasisti katika...
PRIME Ripoti maalumu… Madokta wa timu 7 Ligi Kuu matatani KANUNI za usajili na leseni za Klabu za Shirikisho la Soka Afrika (CAF), ni mojawapo kati ya miongozo muhimu ambayo ndani yake imetoa maelekezo ya kufuatwa ili kulinda usalama wa kiafya katika soka.
PRIME Siku 32 ngumu kwa Yanga YANGA juzi jioni ikiwa jijini Lubumbashi, DR Congo ilitumia sekunde chache kabla ya pambano lao dhidi ya TP Mazembe kumalizika, kufunga bao la kwanza lililowapa pointi moja katika mechi za...
PRIME PUMZI YA MOTO: Miaka 10 ya Zimbwe Jr ndani ya Simba SC JUNI 23, 2014, mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe (sasa marehemu), alitangaza kumsainisha nyota wa miaka 18 kutoka Kagera Sugar, Mohamed Hussein 'Tshabalala'.