R Kelly ahukumiwa miaka 30 jela Mwimbaji wa Marekani, Robert Kelly maarufu R Kelly leo amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kutumia hadhi yake ya kuwa nyota kuendesha mpango wa kuwadhulumu kingono wanawake na...
BABA LAO: Miaka 87 mataji 28 ya Ligi MCHANA wa jana jiji la Dar es Salaam lilichangamka wakati mabingwa wa Ligi Kuu Bara, Yanga waliporejea kutoka Mbeya wakiwa na taji lao. Achana na vibe la mashabiki wa klabu hiyo walioipokea timu...
Okra: Tulieni nakuja Simba SIMBA inafanya mambo yake kimyakimya na staa mwingine wa kigeni ambaye atakuja kufufua maisha mapya ya kikosi hicho ameshusha mkwara mzito ndani ya kikosi hicho.
Amana na malipo ya haraka zaidi Slotpesa ni kasino ya mtandaoni ambayo unaweza kupata zaidi ya kile unachohitaji kutoka kwenye; Slots, Keno, Roulette, michezo ya moja kwa moja na ya mtandaoni! Na zaidi ya michezo 5000 kutoka...
Yanga yapewa vigogo nane KIKOSI cha Yanga jana kilitua Mbeya na kupokewa kifalme na mashabiki waliofurika kwenye uwanja wa ndege kuwalaki mabingwa hao watakaocheza kesho mechi yao ya kukabidhiwa ubingwa wa Ligi Kuu Bara,...
Ndayiragije aiponza Geita Gold, yafungiwa SIKU chache tangu Biashara United kukutana na rungu na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kwa kufungiwa kusajili kwa madirisha mawili, nao Geita Gold yamewakuta kwa kuzuiwa kusajili hadi...
Morrison apewa mazoezi Yanga MABOSI wa Yanga wameshusha pumzi baada ya kusikia Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limesogeza mbele muda wa kuanza mashindano yake kwa ngazi ya klabu, lakini taarifa hizo zikafungua milango za...
Kill Challenge kutimua vumbi Julai 15 Mashindano ya Kill Challenge 2022 yanayoratibiwa na Kampuni ya Geita Gold Mine Limited (GGML) yanatarajia kuanza kutimua vumbi Julai 15 mwaka huu yakianzia geti la Machame na kuhitimishwa katika...
FIFA yaifungia Biashara kusajili Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) imeifungia klabu ya Biashara United ya Mara kusajili wachezaji kwa madirisha mawili.
Sakata la Kyombo kusaini Simba, Singida liko hivi... MCHANA wa leo Jumanne mshambuliaji wa Mbeya Kwanza, Habibu Haji Kyombo amekuwa mchezaji wa kwanza kutambulishwa na Singida Big Stars waliopanda daraja msimu huu.i imemtafuta Kyombo na uongozi...