Amana na malipo ya haraka zaidi
Slotpesa ni kasino ya mtandaoni ambayo unaweza kupata zaidi ya kile unachohitaji kutoka kwenye; Slots, Keno, Roulette, michezo ya moja kwa moja na ya mtandaoni! Na zaidi ya michezo 5000 kutoka kwa watoa huduma maarufu na wanaopendwa zaidi na watumiaji kama vile Playson, EGT, PragmaticPlay, na wengine wengi.
Kwanza kabisa, Slotpesa inatoa mchakato rahisi na wa haraka wa usajili kwa watumiaji nchini. Unachotakiwa kufanya ni kuingia kwenye ukurasa wa usajili ambao mtumiaji haulizwi taarifa binafsi.
Mtumiaji anahitaji tu kuweka namba ya simu ya mkononi inayotumika na tarehe ya kuzaliwa inayothibitisha umri wa zaidi ya miaka 18. Baada ya hapo kilichobaki ni kuthibitisha namba tu. Rahisi hivyo!
Baada ya kujisajili, daima kuna amana na malipo salama, ya papo hapo na ya haraka zaidi. Kwa kubofya mara chache tu watumiaji wanaweza kutoa fedha zao walizoshinda na kuzihamisha kwenye “waleti” na kupokea pesa zao hadi 2,500,000TZS kila siku.
Kwa huduma za kuweka na kutoa fedha, Slotpesa imeshirikiana na makampuni yafuatayo: Tigo Pesa, M-Pesa, Airtel Tanzania, HaloPesa, na Ezypesa.
Nenda kwenye tovuti yao, ya Slotpesa ijaribu na matoleo yote mazuri waliyonayo na bila shaka utafurahia huduma zao.