Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9138 results for Mwandishi :

  1. MZEE WA UPUPU: Azam FC wamebadilika, Mbombo na Hamahama ni shida

    TANGU ujio wa kocha mpya wa Azam FC, Abdihamid Moallin, timu hiyo imekuwa tofauti kabisa. Inacheza soka safi, inapata matokeo na inafunga mabao mengi. Kabla ya Moallin, Azam FC ilikuwa haijawahi...

  2. Wazito FC waachilia majembe sita

    Siku moja tu baada ya dirisha Dogo la uhamisho la Ligi Kuu ya FKFPL kufungwa ,Wazito Fc kupitia kurasa zao za kijamii wametangaza rasmi kuondoka kwa wachezaji Sita kwenye timu Hiyo. Timu Hiyo...

  3. Si mchezo, kwa makipa hawa Azam, kina Mayele, Phiri kazi wanayo

    KAMBI ya Azam FC mjini El Gouna, Misri ipo katika siku ya nne leo Jumanne, huku mambo yakizidi kunoga kidogokidogo, ambapo kila kocha amekwishaanza kuwanoa watu wake. Azam FC ina makocha na...

  4. Haji Manara na hadithi ya tikiti maji

    HABARI ya mjini kwa sasa ni Haji Manara. Kitendo chake cha kutua Yanga akitokea Simba, huku akiwa mmoja ya watu waliokuwa wakiwanyima raha Wanajangwani, imezua mijadala mingi nchini na kushangaza...

  5. PRIME Njia mpya za Simba CAF

    NI sawa kusema tunaanzia pale tulipoishia msimu uliopita, baada ya asilimia kubwa ya kila kitu kuhusu Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho kukamilika, kwani mambo yanaanza rasmi mapema...

  6. Salute! Huyu Bocco apewe maua yake

    KUNA John Bocco mmoja tu nchini. Jamaa mmoja mrefu, ‘kauzu’ flani mwenye mzuzu kidevuni. Huyu ndiye nahodha wa Simba akitimiza msimu wa saba akiwa na kikosi hicho. Simba ilimnyakua msimu wa...

  7. Simba ipitie hapa, itatoboa

    BAADA ya kutawala soka la nchi kwa miaka minne mfululizo, Simba inaelekea kumaliza msimu wa pili sasa bila ya taji lolote na uamuzi mgumu unapaswa kufanywa ili kuirejesha timu katika makali yake.

  8. Mechi inayofuata baada ya kipigo kikubwa -2

    TUNAENDELEA na mfululizo wa makala zetu za kuelekea mechi ya watani wa jadi, Aprili 20, 2024. Mchezo wa Aprili 20 utakuwa wa kwanza baina ya jamaa hawa tangu Novemba 5, 2023 ambapo Yanga...

  9. PRIME Pointi tatu tata Dabi ya Kariakoo

    Simba itakuwa mgeni wa Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara Jumamosi ijayo, mechi ambayo itakuwa na maswali mengi ambayo yanahitaji majibu.

  10. Tshabalala awaachia msala wazawa Simba

    Simba kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa eneo gumu sana kwa wachezaji wazawa wanaosajiliwa kupata nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza na kuonyesha ubora. Wengi husajiliwa kisha baadaye...

Previous

Page 853 of 914

Next