Manchester yatua West Ham ikimtaka Mateus MARA tu baada ya kuthibitika kwamba timu yake imeshuka daraja, Manchester United imetua West Ham United ikimuwinda kiungo Mateus Fernandes katika dili ambalo huenda likakamilika mapema zaidi...
Anderson achimba mkwara akitua Etihad MANCHESTER City imetangaza rasmi kumsajili kiungo wa kimataifa wa England, Elliot Anderson, kutoka Nottingham Forest kwa ada ya pauni 116 milioni.
LeBron James abadili soko la NBA BAADA ya wiki kadhaa za tetesi na mijadala mikubwa, hatimaye nyota wa NBA, LeBron James amefanya uamuzi uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu duniani kote kwa kutangaza kujiunga na Philadelphia 76ers.
Namba za Bruno Guimaraes zinaongea Arsenal imekamilisha usajili wa kiungo Bruno Guimaraes kutoka Newcastle United, huku Mikel Arteta akitarajiwa kupata nguvu mpya kwenye eneo la kiungo kuelekea msimu wa 2026/27 na miaka inayofuata.
PESA INAONGEA! Uhamisho 10 ghali zaidi kuwahi kutokea kama ungefanyika leo na gharama zake ADA za uhamisho wa wachezaji zimepanda kwa kiasi kikubwa katika miaka ya hivi karibuni kutokana na kuongezeka kwa fedha kwenye mchezo wa soka, jambo lililosababisha bei za wachezaji kupanda kwa...
PSG yalenga historia mpya Ulaya Paris Saint-Germain (PSG) inaanza msimu mpya ikiwa na lengo lilelile ililotumia kumaliza msimu uliopita kutwaa taji la Ulaya.
Wababe tenisi wanaume wanavyoteseka ATP Tour PENGO kati ya Jannik Sinner, Carlos Alcaraz na wengine katika ATP Tour 2026 ya tenisi halijasumbua kutoka kwa wakali wenzao, kwani katika michuano ya Australian Open amebeba Alcaraz, huku...