Cudi: Diddy alipojua natoka na Cassie, gari langu likachomwa moto Msanii wa muziki Kid Cudi, mtaalamu wa vipodozi mashuhuri, na mfanyakazi wa hoteli walikuwa miongoni mwa waliotoa ushahidi Alhamisi kuhitimisha wiki ya pili ya kesi ya uhalifu wa kimtandao na...
Ukurasa wa CHAN 2024 unapofunguliwa SASA zimesalia wiki mbili tu kuandika sura mpya katika soka la Afrika. CHAN 2024 ni zaidi ya mashindano, ni kauli yenye nguvu ya ubora wa Afrika, umoja na imani katika vipaji vya ndani. Afrika...
PRIME Simba yapanda dau kwa Yacoub MABOSI wa JKT Tanzania wamedaiwa kuweka ngumu kumruhusu kipa wa timu hiyo, Yakoub Suleiman kujiunga na Simba iliyopiga kambi Misri ikijiandaa na msimu mpya wa 2025-2026, hivyo kuwafanya wenzao...
PRIME Hii ndiyo Simba ya Sowah BAADA ya msimu wa 2024/25 kukamilika patupu kwa Simba bila kutwaa taji lolote kubwa ndani na nje ya nchi, macho yote yakageuka kwa benchi la ufundi la timu hiyo chini ya Kocha Fadlu Davids kuona...
Dili za pesa nyingi zilizoshikilia rekodi England LIVERPOOL imeripotiwa kuweka mezani Pauni 120 milioni kunasa huduma ya straika Alexander Isak. Lakini, klabu yake ya Newcastle United inamthaminisha kuwa na thamani ya Pauni 150 milioni.
Hili ndilo anguko la Dullah Mbabe AGOSTI, mwaka 2021 ndiyo ulikuwa mwisho wa utawala wa bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Abdallah Pazi maarufu Dullah Mbabe kutokana na kupigwa kwa pointi na aliyekuwa mpinzani wake wakati huo...
Hawa jamaa ndo kiboko ya nyavu za uwanjani tangu mwaka 2000 RAHA ya mechi bao, wanasema. Ndivyo ilivyo na ndio maana kwenye mchezo wa soka kila siku kumekuwa na marekebisho ya sheria mbalimbali ili kuona mechi zinakuwa na mvuto hasa kwenye ishu ya mabao...
LIGI KUU: Kuna vita mbili Mbeya LIGI Kuu Bara inaendelea leo Jumatano na timu zote 16 zitakuwa kwenye viwanja nane tofauti kusaka hatma ya kutamatisha msimu huu huku kukiwa na mechi moja yenye vita mbili tofauti ikizihusisha...
PRIME Hii ndo Endorsement ya Uchaguzi Mkuu TFF KIPYENGA cha Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kimeshapulizwa na kwa sasa mchakato wa uchaguzi huo upo hatua ya Mchujo kwa wagombea waliojitokeza kuwania nafasi saba za uongozi...
FILBERT BAYI: Miaka 51 rekodi yake bado inaishi KWA sasa ni miaka 51 tangu mwanariadha nyota wa kimataifa wa Tanzania, Filbert Bayi alipoipatia rekodi ya kwanza na ya pekee ya dunia katika riadha. Nimeona nizungumzie habari za Bayi na...